Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Soma uelewe ndio uanze matusi, acha umbilikimo wa mawazoHuyo ni pimbi Sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma uelewe ndio uanze matusi, acha umbilikimo wa mawazoHuyo ni pimbi Sana!
Unafikiri uzalendo ni kuandika upumbavu wa namna hii?Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu Ni sawa na wanavyowaza, Kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, Kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais Ni Sawa na uzito wa Mwenyekiti wa chama kilicho Kama Saccos
Lazima Tufahamu kuwa Rais wa nchi Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa Serikali, Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Akishakupigiwa kura na kuapishwa hawi Kama yule uliyekuwa unamfahamu, hajiamulii mambo Kama alivyookuwa anajiamulia kiusalama, Haendi kila sehemu aliyokuwa anaenda awali, hapiti kila eneo alikokuwa anapita awali, Hali chakula kila mgahawa alikokuwa anakula awali, hasalimiani na kila mtu Wala hasogeleani na kila mtu hata Kama alipanga msitari kumpigia kura katika uchaguzi, Wala hapandi kila gari na kupita popote pale na njia yoyote ile
Lazima Tufahamu kuwa kila kitu kinawekwa katika utaratibu maalumu, utaratibu wa kijasusi,utaratibu wa kiusalama na kiulinzi, lazima Tufahamu kuwa usalama na ulinzi wa Rais wa nchi Ndio Jambo la muhimu kuliko kitu kingine chochote kile hapa nchini, amani na utulivu wa nchi hauwezi ukatenganishwa na usalama wa Rais na familia yake,
Rais hawezi akayumba kiafya halafu utegemee nchi isiyumbe, lazima iyumbe, itetemeke, ipepesuke, mambo lazima yatetereke na kusua sua, lazima idara zisimame kazi zake, lazima watu watege masikio juu ya Hali ya Rais, lazima mawazo ya watu yawe mahali pamoja tu, lazima kila muda iulizwe Hali ya Rais ikoje, lazima ufanisi wa kazi upungue makazini kwote na kila idara, mpaka Rais atakapo toka hadharani kulipungia mkono na kulisalimu Taifa ama kulihutubia Taifa letu ndipo mioyo ya watu itapona na kupata amani na Kuendelea na kazi kwa moyo wote
Hivyo tusiwafundishe Wala kuwaingilia katika kazi watu waliopewa dhamani juu ya ulinzi na usalama wa Rais wetu, Tusiwachanganye Wala tusiwaone Ni wajinga, Mwenyezi Mungu alitupatia maarifa wanadamu hivyo lazima maarifa yote yatumike katika kuhakikisha Rais anakuwa salama muda wote, hiyo ni kazi yao ,Ni wajibu wao wakufa na kupona kuhakikisha Rais Ni salama.Tusilete uanaharakati kwa kila Jambo,
Macho yetu lazima tujuwe Ni vipofu linapokuja suala la ulinzi na usalama wa Rais, sisi tunaona kwa macho haya ya nyama pekee, macho ya kukosoa, ambayo yanafumba hata upepo ukipita, macho yetu siyo Kama ya wale tuliyowapa dhamani ya ulinzi wa Rais wetu mpendwa, wao wanaona mbali, wanao hata tusivyoweza kuona kwa macho ya kawaida, wanaona hata kabla ya kukaa , wanaona hata mioyo yetu, wanaona hata ishara zetu, wanaona hata mifuko yetu, wanaona hata katikati yetu. Wakati sisi hata tukizibwa na mtu mrefu mbele yetu hatuwezi kusimulia kilichokuwa mbele yetu hatua chache
Tuache ujuaji na kukosoa kila kitu, tuache uanaharakati kwa kila kitu, tuache utalaamu kwa vitu ambavyo hata darasni hatujawahi kukaa kujifunza, tuache umbilikimo wa kifikira na kimawazo, tuache werevu wakati ni vipofu wa masuala ya usalama, Tuache idara zetu za usalama zifanye kazi zake, zitekeleze wajibu wake
Idara yetu ya ulinzi na usalama wa Rais Rai yangu kwenu Ni kuwa endeleeni na majukumu yenu Wala msiyumbishwe Wala kuondolewa katika mstari wenu ,Wala kufundishwa kazi , Wala kuelekezwa na mtu wa nje kipofu wa masuala ya ulinzi na usalama, tunachohitaji Ni kuona Rais wetu ni salama kwa gharama zozote zile, tunampenda Rais wetu na tumewakabidhini ulinzi na usalama wake muutekeleze ipasavyo na kwa weledi mkubwa kwa msaada wa Mwenyezi Mungu mtoa njia maaarifa
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kazi ninafanya Tena ya kutumia jembe na ninafurahishwa na utendaji kazi wa mh Rais Samia katika kututumikia watanzania hasa sisi wakulima ametugusa Sana na kukonga nyoyo zetu, hasa baada ya kutoa Ruzuku ya mabillioni na kupelekea kushuka kwa mbolea sokoni,Unafikiri uzalendo ni kuandika upumbavu wa namna hii?
Wewe ni kijana mjinga sana.
Fanya kazi uisaidie nchi kama una uwezo huo lakini...
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe, kwani unafikiri John Kennedy hakuwa anapendwaa? Unazani Abraham linkolin hakuwa anapendwaa na wamarekani? Unazani Tomas Sankara hakuwa anapendwaa? Usituletee mzaha kwenye suala la ulinzi na usalama wa Rais wetu mpendwa, usijilinganishe wewe na Rais wa nchi, huna hadhi hiyo Wala uzito alio nao RaisSasa rais anatofauti gani na mwananch wa kawaida.yeye mwili wake hauna nyama?Heshima ya rais huwa inakuja yenyewe anaposimamia rasilimali vizuri.kama hasimamii rasilimali ipasavyo sasa nani atamheshimu? Kama anataka heshima aondoe tozo za kipuuzi puuzi
Usalama na ulinzi ulikuwepo na ulinzingatiwa kwa kiwango Cha juu, Pia kufanya vile ilirahisisha kuratibu suala la ulinzi na usalama wa viongozi wetu,Kwenye lile basi walililundikwa alibeba kiti chake??
Tuanzie hapo kwanza.
Viongozi wako wewe na nani?Usalama na ulinzi ulikuwepo na ulinzingatiwa kwa kiwango Cha juu, Pia kufanya vile ilirahisisha kuratibu suala la ulinzi na usalama wa viongozi wetu,
Viongozi wako wewe na nani?
Kwa akili hii huwezi kufanya kitu chochote productive.Kazi ninafanya Tena ya kutumia jembe na ninafurahishwa na utendaji kazi wa mh Rais Samia katika kututumikia watanzania hasa sisi wakulima ametugusa Sana na kukonga nyoyo zetu, hasa baada ya kutoa Ruzuku ya mabillioni na kupelekea kushuka kwa mbolea sokoni,
Ndio sababu tunampenda Rais wetu na kuhitaji kuona ulinzi na usalama wake unakuwa ni wa uhakika na wakuridhisha, Hatutaki kutuletea ujuaji wenu katika suala la ulinzi wa Rais maana tunajuwa nyie Ni vipofu
Sasa nyie yanawahusu Nini mliokuwa mnajadili na kupiga makelele yenu juu ya kiti Cha Rais?Kwa akili hii huwezi kufanya kitu chochote productive.
Yaani unakaa kujadili sijui ulinzi wa Rais mara kiti cha Rais...
Wewe inakuhusu nini?...hayo mambo waachie wahusika na utaratibu wao...unajipendekeza kutoa maelezo kama nani...
Uteuzi hauji hivyo sawa chawa mtoto.
Hana uzito wowote zaidi ya kuharibu nchi tu.kwanza hatujamchagua.Angekuwa labda amechaguliwa na wananchi angalau ningekuona wa maanaTozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe, kwani unafikiri John Kennedy hakuwa anapendwaa? Unazani Abraham linkolin hakuwa anapendwaa na wamarekani? Unazani Tomas Sankara hakuwa anapendwaa? Usituletee mzaha kwenye suala la ulinzi na usalama wa Rais wetu mpendwa, usijilinganishe wewe na Rais wa nchi, huna hadhi hiyo Wala uzito alio nao Rais
Wapi nimejadili upumbavu huo?...Sasa nyie yanawahusu Nini mliokuwa mnajadili na kupiga makelele yenu juu ya kiti Cha Rais?
Basi usiwe unachangia hoja usiyoielewa, Mimi nilikuwa nawajibu na kutoa ufafanuzi na Elimu kwa wale wapiga makelele juu ya like kilichotokea kanisani katika ibada maalumu ya kumwombea Hayati Baba wa TaifaWapi nimejadili upumbavu huo?...
Nyinyi ndezi ndio mnaharibu credibility ya hii forum...leteni mambo ya maana...hiki kizazi chenu kina wajinga wajinga sana.
Huyu Ni Rais mwenye mamlaka kamili ya Urais na ukuu wa nchi, Alipiga kampeni na alizunguka nchi hii yote kuinadi ilani ya CCM katika uchaguzi ,ndio maana anaelewa anachokitekeleza maana alishiliki kikamilifu katika kuomba kula kwa watanzania na watanzania tukapiga kura kuichagua CCMHana uzito wowote zaidi ya kuharibu nchi tu?kwanza hatujamchagua.Angekuwa labda amechaguliwa na wananchi angalau ningekuona wa maana
Ni maoni yako binafsiRubbish
Je wewe Mwashambwa ukiwa Rais, utaingia na kiti msikitini?Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais Ni Sawa na uzito wa Mwenyekiti wa chama kilicho kama Saccos.
Lazima Tufahamu kuwa Rais wa nchi Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa Serikali, Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Akishakupigiwa kura na kuapishwa hawi Kama yule uliyekuwa unamfahamu, hajiamulii mambo Kama alivyookuwa anajiamulia kiusalama, Haendi kila sehemu aliyokuwa anaenda awali, hapiti kila eneo alikokuwa anapita awali, Hali chakula kila mgahawa alikokuwa anakula awali, hasalimiani na kila mtu Wala hasogeleani na kila mtu hata Kama alipanga msitari kumpigia kura katika uchaguzi, Wala hapandi kila gari na kupita popote pale na njia yoyote ile.
Lazima Tufahamu kuwa kila kitu kinawekwa katika utaratibu maalumu, utaratibu wa kijasusi,utaratibu wa kiusalama na kiulinzi, lazima Tufahamu kuwa usalama na ulinzi wa Rais wa nchi Ndio Jambo la muhimu kuliko kitu kingine chochote kile hapa nchini, amani na utulivu wa nchi hauwezi ukatenganishwa na usalama wa Rais na familia yake.
Rais hawezi akayumba kiafya halafu utegemee nchi isiyumbe, lazima iyumbe, itetemeke, ipepesuke, mambo lazima yatetereke na kusua sua, lazima idara zisimame kazi zake, lazima watu watege masikio juu ya Hali ya Rais, lazima mawazo ya watu yawe mahali pamoja tu, lazima kila muda iulizwe Hali ya Rais ikoje, lazima ufanisi wa kazi upungue makazini kwote na kila idara, mpaka Rais atakapo toka hadharani kulipungia mkono na kulisalimu Taifa ama kulihutubia Taifa letu ndipo mioyo ya watu itapona na kupata amani na Kuendelea na kazi kwa moyo wote.
Hivyo tusiwafundishe Wala kuwaingilia katika kazi watu waliopewa dhamani juu ya ulinzi na usalama wa Rais wetu, Tusiwachanganye Wala tusiwaone Ni wajinga, Mwenyezi Mungu alitupatia maarifa wanadamu hivyo lazima maarifa yote yatumike katika kuhakikisha Rais anakuwa salama muda wote, hiyo ni kazi yao. Ni wajibu wao wakufa na kupona kuhakikisha Rais Ni salama. Tusilete uanaharakati kwa kila Jambo.
Macho yetu lazima tujuwe Ni vipofu linapokuja suala la ulinzi na usalama wa Rais, sisi tunaona kwa macho haya ya nyama pekee, macho ya kukosoa, ambayo yanafumba hata upepo ukipita, macho yetu siyo Kama ya wale tuliyowapa dhamani ya ulinzi wa Rais wetu mpendwa, wao wanaona mbali, wanao hata tusivyoweza kuona kwa macho ya kawaida, wanaona hata kabla ya kukaa, wanaona hata mioyo yetu, wanaona hata ishara zetu, wanaona hata mifuko yetu, wanaona hata katikati yetu. Wakati sisi hata tukizibwa na mtu mrefu mbele yetu hatuwezi kusimulia kilichokuwa mbele yetu hatua chache.
Tuache ujuaji na kukosoa kila kitu, tuache uanaharakati kwa kila kitu, tuache utalaamu kwa vitu ambavyo hata darasni hatujawahi kukaa kujifunza, tuache umbilikimo wa kifikira na kimawazo, tuache werevu wakati ni vipofu wa masuala ya usalama, Tuache idara zetu za usalama zifanye kazi zake, zitekeleze wajibu wake.
Idara yetu ya ulinzi na usalama wa Rais Rai yangu kwenu ni kuwa endeleeni na majukumu yenu Wala msiyumbishwe Wala kuondolewa katika mstari wenu ,Wala kufundishwa kazi, Wala kuelekezwa na mtu wa nje kipofu wa masuala ya ulinzi na usalama, tunachohitaji Ni kuona Rais wetu ni salama kwa gharama zozote zile, tunampenda Rais wetu na tumewakabidhini ulinzi na usalama wake muutekeleze ipasavyo na kwa weledi mkubwa kwa msaada wa Mwenyezi Mungu mtoa njia maarifa.
Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Kabisa hasa suala Hilo la ulinzi na usalama wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani tuviachie vyombo vyetu vinavyohusika na ulinzi wa RaisMambo mengine yaachwe kama yalivyo...