Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

Wakati Mwalimu alikaa hadi foleni na Marais wengine wanakalia viti vya kanisani kwa adabu, kuna Paka special linasafirisha na kukalia kiti maalum👇🐒🐒🐒
 
Wakati huo mamilioni ya wananchi wanateseka kwa ubovu wa miundombinu na huduma mbovu za afya! UPUUZI mtupu!
Rais wetu akiwa salama hata Miundombinu itajengwa tu kama ambavyo inajengwa kwa Sasa kila Kona ya nchi hii
 
Kama huyu angekuwa Rais wa kwanza kwenda Kasisani ingekuwa sahihi. Lakini tuna Marais zaidi ya 10 Tanzania na Zanzibar wamekwenda makanisani na misikitini na hatujawahi kuona viti vya Ikulu kule.
Hivi ingekuwa Msikitini angekwenda na zulia dogo jipya?
 
Mambo ya kiusalama yanabadilika kulingana na wakati
 
Kwani hizo Rushwa huwa unashikiwa mtutu kutoa? Kwanini usitoa taarifa?
 
Bavichaa wanapiga makelele bila kujuwa kuwa masuala ya usalama na ulinzi wa Rais Ni muhimu kuliko kitu kingine chochote, Ndio maana nilikuwa natoa Elimu hapa
Ni nini sababu ya povu lote hili bwashee, au kuna mtu kampiga kofi kama alivyopigwa yule mwingine miaka ile?
 
Yani uzi mzima umeandika kutujuza kwamba Rais ni Amir jeshi mkuu? Kwamba ndiye mkuu wa nchi? Dah Tanzania bhana
Nimeandika juu ya ulinzi na usalama wa Rais kuwa Ni wa muhimu kuliko kitu kingine chochote na mtu mwingine yoyote
 
Nchi haiwezi yumba kwa ajili yake , shenzi
 
Nchi haiwezi yumba kwa ajili yake , shenzi
Ukikua utaelewa umuhimu wa Rais katika nchi, Ndio maana hata kauli yake tu moja inaweza kufukuza au kuvutia wawekezaji, inaweza vutia watalii au kuwafukuza watalii, inaweza Leta amani au kuchochea chuki katika Taifa, Rais asipoonekana hadharani na kujulikana aliko hata kabla ya wiki kuisha lazima Taharuku na hofu itokee na kutanda nchini,
 
Askofu/Padri aliyeruhusu hivi viti kuingizwa Kanisani, alifanya makosa makubwa sana.

Ni aibu kwa Makamu wa Rais naye kwa makusudi kabisa, akiwa ni Mkatoliki! halafu anakubali kulitia najisi Kanisa la Mungu kupitia hicho kiti. Nini maana ya unyenyekevu katika kanisa la Mungu!

I wish Askofu wa hilo eneo angekuwa ni Ngararekumtwa wa Iringa! JK anamkumbuka vizuri.
 
Kwamba raisi ana uspesho kiasi hicho? Linapokuja swala la Lissu kumiminiwa moto analaumiwa kuwa raisi alikuwa katili. Hii nchi ina safari ndefu sana kwa aina ya unafiki uliowajaa raia wake.
 
Mueleze huyo ndezi!
 
Mueleze huyo chawa mnafiki!
Kwani wewe huoni kazi kubwa inayofanywa na mh Rais wetu mpendwa katika kuijenga nchi hii, huoni huduma za kijamii zinavyozidi kuboreshwa na kusogezwa karibu ya mwananchi, Huoni juhudi za mh Rais kuvutia wawekezaji hapa nchini Jambo linaloongeza hata fursa za ajira kwetu vijana,
 
Mueleze huyo ndezi!
Lazima ufahamu kuwa suala la ulinzi na usalama wa mkuu wa nchi Ni tofauti na ulinzi wako wewe binafsi, Rais lazima alindwe kwa nguvu zote na kwa gharama zote na kwa Rasilimali zote tulizonazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…