Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

Unafikiri uzalendo ni kuandika upumbavu wa namna hii?
Wewe ni kijana mjinga sana.
Fanya kazi uisaidie nchi kama una uwezo huo lakini...
 
Sasa rais anatofauti gani na mwananch wa kawaida.yeye mwili wake hauna nyama?Heshima ya rais huwa inakuja yenyewe anaposimamia rasilimali vizuri.kama hasimamii rasilimali ipasavyo sasa nani atamheshimu? Kama anataka heshima aondoe tozo za kipuuzi puuzi
 
Unafikiri uzalendo ni kuandika upumbavu wa namna hii?
Wewe ni kijana mjinga sana.
Fanya kazi uisaidie nchi kama una uwezo huo lakini...
Kazi ninafanya Tena ya kutumia jembe na ninafurahishwa na utendaji kazi wa mh Rais Samia katika kututumikia watanzania hasa sisi wakulima ametugusa Sana na kukonga nyoyo zetu, hasa baada ya kutoa Ruzuku ya mabillioni na kupelekea kushuka kwa mbolea sokoni,

Ndio sababu tunampenda Rais wetu na kuhitaji kuona ulinzi na usalama wake unakuwa ni wa uhakika na wakuridhisha, Hatutaki kutuletea ujuaji wenu katika suala la ulinzi wa Rais maana tunajuwa nyie Ni vipofu
 
Kwenye lile basi walililundikwa alibeba kiti chake??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe, kwani unafikiri John Kennedy hakuwa anapendwaa? Unazani Abraham linkolin hakuwa anapendwaa na wamarekani? Unazani Tomas Sankara hakuwa anapendwaa? Usituletee mzaha kwenye suala la ulinzi na usalama wa Rais wetu mpendwa, usijilinganishe wewe na Rais wa nchi, huna hadhi hiyo Wala uzito alio nao Rais
 
Kwenye lile basi walililundikwa alibeba kiti chake??

Tuanzie hapo kwanza.
Usalama na ulinzi ulikuwepo na ulinzingatiwa kwa kiwango Cha juu, Pia kufanya vile ilirahisisha kuratibu suala la ulinzi na usalama wa viongozi wetu,
 
Mimi na mamillion ya watanzania ambao kila siku Tunafanya Sara na maombi ya kumwombea mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakuwa mwenye Afya njema na nguvu za kututumikia watanzania tunaohitaji utumishi wake ambao umekuwa wa kutukuka na wakuleta matumaini kwetu watanzania
Viongozi wako wewe na nani?
 
Kwa akili hii huwezi kufanya kitu chochote productive.
Yaani unakaa kujadili sijui ulinzi wa Rais mara kiti cha Rais...
Wewe inakuhusu nini?...hayo mambo waachie wahusika na utaratibu wao...unajipendekeza kutoa maelezo kama nani...
Uteuzi hauji hivyo sawa chawa mtoto.
 
Sasa nyie yanawahusu Nini mliokuwa mnajadili na kupiga makelele yenu juu ya kiti Cha Rais?
 
Hana uzito wowote zaidi ya kuharibu nchi tu.kwanza hatujamchagua.Angekuwa labda amechaguliwa na wananchi angalau ningekuona wa maana
 
Sasa nyie yanawahusu Nini mliokuwa mnajadili na kupiga makelele yenu juu ya kiti Cha Rais?
Wapi nimejadili upumbavu huo?...
Nyinyi ndezi ndio mnaharibu credibility ya hii forum...leteni mambo ya maana...hiki kizazi chenu kina wajinga wajinga sana.
 
Wapi nimejadili upumbavu huo?...
Nyinyi ndezi ndio mnaharibu credibility ya hii forum...leteni mambo ya maana...hiki kizazi chenu kina wajinga wajinga sana.
Basi usiwe unachangia hoja usiyoielewa, Mimi nilikuwa nawajibu na kutoa ufafanuzi na Elimu kwa wale wapiga makelele juu ya like kilichotokea kanisani katika ibada maalumu ya kumwombea Hayati Baba wa Taifa
 
Hana uzito wowote zaidi ya kuharibu nchi tu?kwanza hatujamchagua.Angekuwa labda amechaguliwa na wananchi angalau ningekuona wa maana
Huyu Ni Rais mwenye mamlaka kamili ya Urais na ukuu wa nchi, Alipiga kampeni na alizunguka nchi hii yote kuinadi ilani ya CCM katika uchaguzi ,ndio maana anaelewa anachokitekeleza maana alishiliki kikamilifu katika kuomba kula kwa watanzania na watanzania tukapiga kura kuichagua CCM
 
Je wewe Mwashambwa ukiwa Rais, utaingia na kiti msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…