Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Halafu vx v8 tungenunulia na nini? Halafu tuna timu ya soka, ina wachezaji kibao wa kigeni, pesa ya kuwalipa tungepata wapi?
Tuna mabasi yetu yanapiga ruti nchi nzima yanahitaji mafuta, matengenezo, etc unafikiri pesa ingepatikana wapi?
Halafu hayo makraine tununue ya kazi gani?
 
Kila mtu akingia huko anafikiria/waza kuiba
Yaani uwizi,ufisadi kwanza kazi badaye

Ova
Kipindi cha utawala wa Msoga kuna mshikaji alikua anaingiza canter saa 10 alafajiri kila siku,wanatoa mizigo ya wizi.

mma ***** yule jamaa alikua anakula bata 7 days,alivyoingia Magu akapigwa pini.
 
Tatizo ni mikopo , wanakopa halafu wanakula pesa za mikopo, mwisho wa siku tunalipa madeni hewa nusu ya bajeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…