kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Mtaweza wapi wakati mnashinda twitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu vx v8 tungenunulia na nini? Halafu tuna timu ya soka, ina wachezaji kibao wa kigeni, pesa ya kuwalipa tungepata wapi?Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
View attachment 2679124View attachment 2679125View attachment 2679126
Itachukua muda.Haifai tuikatae haraka tuweke watu kwa uwezo wao
Tatizo kubwa sana.Bandari imejazwa viongozi makada na ndugu unategemea ufanisi wowote?
Kipindi cha utawala wa Msoga kuna mshikaji alikua anaingiza canter saa 10 alafajiri kila siku,wanatoa mizigo ya wizi.Kila mtu akingia huko anafikiria/waza kuiba
Yaani uwizi,ufisadi kwanza kazi badaye
Ova
Duh..Kipindi cha utawala wa Msoga kuna mshikaji alikua anaingiza canter saa 10 alafajiri kila siku,wanatoa mizigo ya wizi.
mma ***** yule jamaa alikua anakula bata 7 days,alivyoingia Magu akapigwa pini.
Tatizo ni mikopo , wanakopa halafu wanakula pesa za mikopo, mwisho wa siku tunalipa madeni hewa nusu ya bajetiHalafu vx v8 tungenunulia na nini? Halafu tuna timu ya soka, ina wachezaji kibao wa kigeni, pesa ya kuwalipa tungepata wapi?
Tuna mabasi yetu yanapiga ruti nchi nzima yanahitaji mafuta, matengenezo, etc unafikiri pesa ingepatikana wapi?
Halafu hayo makraine tununue ya kazi gani?