GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Huyo Daktari wa Afya ya Akili unayeenda kumuona bila ya Mwenyezi Mungu Kumbariki Kitaaluma angeweza Kukutibu?Tatizo tunakuwa wabishi kuelewa mtu anaweza kuumwa akili kama viungo vingine, na akazidiwa, ugonjwa ukamchukua.
Badala ya kutoa elimu juu ya afya ya akili, tunahangaika na mungu ambaye hata hayupo.
Unaenda hospitali unaona watu wanavyoteaeka unajiuliza huyo mungu ana kazi gani?
Hebu tujaribu kuishi kwenye uhalisia.