Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #81
HahahaNaona unatafutia watu ban za moderators kwa nguvu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNaona unatafutia watu ban za moderators kwa nguvu!!!
Atakachosema Paskali ndio hiko kitakachotokeaUkitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Huyu bwabwaja aliyesema tusipowapa wazungu madini tutashitakiwa ndo anafanàna na Magufuli?Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Bwabwaja ni wewe uliyekosa mwelekeo. Sasa mmehama kwa wazungu mmewapa WarabuHuyu bwabwaja aliyesema tusipowapa wazungu madini tutashitakiwa ndo anafanàna na Magufuli?
Tumesema ana tofauti kidogoUna maana gani kusema Magufuli mwingine?
Una maana ataendeleza yale matabia ambayo ni laana kwa Taifa??
Kwani huyo yesu ni mlokole tumieni akili nyinyi viumbe vipofuULOKOLE JE ??!
DINI YANGU NI KUTENDA NA KUSEMA HAKI.Kwa mtazamo wako ambao of course nitauheshimu japo sio lazima niufuate Wewe ni muumini wa Dini gani au ni wa imani ipi ??!
🙌👍 Naunga mkono hiyo imani 💯DINI YANGU NI KUTENDA NA KUSEMA HAKI.
🚮🚮🚮Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Tunajua mnachojivunia🚮🚮🚮
Mtasogeza sana tarehe,2025 ni wiki ijayo tuu sio mbali 🤣🤣
Nyie wakelristo si mlikua mnawapa maeneo wazungu wakae vzr na hamkutaka watoe uhuru mpaka waislamu walipoamua na hadi leo mnarudisha nyuma serikali kwa wizi na vyeti fekiKama rais atakuwa ni muislamu mambo ya uzalendo yatakuwa ndoto hakuna muislamu ataacha kuabudu mabeberu na waarabu
too low mliberali ata kama yes ni ameazimwa ndion rais wako na huwezi fanya lolote kwa sababu baba yakoRaisi wa kuazimwa nchi jirani
Tumia akili africa akukua na wakristo wala waislamu hivyo swali lako ni upumbavu hso wahalifu wa kizungu na kiarabu ndiyo walileta ukristo na uislamu...hivyo ukisema nyie wakristo umesha kosea...maana utakuwa unaongea kana kwamba ukristo siyo zao la ukoloni na uislamu siyo zao la ukoloni...kwenye swala la kupigania uhuru hatutakiwi kuwataja wakristo au waislamu maana ukristo na uislamu ni kovu la ukoloni pia ...tena hata tukiongelea dini.. baada ya ukoloni kuingia ndipo wengine wakawa wakristo na wengine waislamu....ukisikia vita vya majimaji usidhani walikuwa waislamu au wakristo waafrica tulipigania nchi zetu kabla ya kuwa na dini za ukristo na uislamu dhidi ya wakoloni ...ukisikia mangi meza wa uchagani usidhani alikuwa mkristo au muislamu tumia akili ...ukisikia chifu mkwawa usidhani alikuwa mkristo au muislamu ...hata watu wa pwani ya africa mashariki hawakuwa waislamu pia.Nyie wakelristo si mlikua mnawapa maeneo wazungu wakae vzr na hamkutaka watoe uhuru mpaka waislamu walipoamua na hadi leo mnarudisha nyuma serikali kwa wizi na vyeti feki
Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
- Confidence
- Reliability
- Knowledgiable
- Patriotism
- Human Rights Defender
- Development oriented
- Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Kumbe Mungu ni wa Israel?Sawa, labda Mungu huyu sio wa kweli. Ila kama ni hi
uyu wa Israel basi sahau
a wa kwetu je yuko wapi ??! 😅Kumbe Mungu ni wa Israel?
Hicho hicho ila ndio hivyo mtasogeza sana tareheTunajua mnachojivunia
Uko sahihi katika nani walioingiza hizo Dini Afrika na hapa Tanzania au sijui unapaita Tanganyika !Tumia akili africa akukua na wakristo wala waislamu hivyo swali lako ni upumbavu hso wahalifu wa kizungu na kiarabu ndiyo walileta ukristo na uislamu...hivyo ukisema nyie wakristo umesha kosea...maana utakuwa unaongea kana kwamba ukristo siyo zao la ukoloni na uislamu siyo zao la ukoloni...kwenye swala la kupigania uhuru hatutakiwi kuwataja wakristo au waislamu maana ukristo na uislamu ni kovu la ukoloni pia ...tena hata tukiongelea dini.. baada ya ukoloni kuingia ndipo wengine wakawa wakristo na wengine waislamu....ukisikia vita vya majimaji usidhani walikuwa waislamu au wakristo waafrica tulipigania nchi zetu kabla ya kuwa na dini za ukristo na uislamu dhidi ya wakoloni ...ukisikia mangi meza wa uchagani usidhani alikuwa mkristo au muislamu tumia akili ...ukisikia chifu mkwawa usidhani alikuwa mkristo au muislamu ...hata watu wa pwani ya africa mashariki hawakuwa waislamu pia.