Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,160
- 488
haya bwana.Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Nina dawa za kila dalili yani hapa Nina Athromycine kwa ajili ya tumbo, Mucolyn ya kikohozi, Diclopa kwa ajili ya maumivu ya Kichwa na homa. Nina kunywa Lita la chai ya Tangawizi na Limao na ninatafuna kitunguu Swaumu na Tangawizi pia kama Sina Akili nzuri. Ninaendelea vizuri maana ilibaki kidogo nife kutokana na kukohoa mno na joto kuwa juuMkuu share unafanyaje kujirudisha ktk hali yako ya zamani na siye wengine likitokea la kutokea tujue tunatokea mlango gani.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
sahivi ni show za "kinyele kinyele" a.k.a kimya kimya. Tutaelewana tu wacha tuoneshane makali!
Hongera Mkuu.Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Weight!!?Magu anangojea watu wafe sana then atatoka mafichoni na kujidai kutumbua wakurugenzi ,wakuu wa wilaya na mkoa na mitanzania ilivyo fake itaanza kumshangilia na kumsifia kumbe mwenzao anapanga timu ya ushindi kwaajili ya uchaguzi ujao just weight and see.
Mimi pia ninahisi dalili za Korona lkn napambana na hali yng siendi kokote kumwambia yeyote. Hakuna kiongozi wakunisaidia hapa Wala sioni mwanga mbele
Akuwa hadi anatishia watu maisha uyoMliwanyamazisha wenye guts za kuusema ukweli bila kupepesa sasa mmebaki wenyewe bado mnalialia , wenzako hua wanakuja na [emoji723] nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Karma is a bitch kweli,Leo hii wewe Ni wa kulaumu kweli serikali yet tukufu?..!!!Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Ukishafikia Happ,umeshavuka,endelea dozi,ndani ya wiki ijayo,uko fitNina dawa za kila dalili yani hapa Nina Athromycine kwa ajili ya tumbo, Mucolyn ya kikohozi, Diclopa kwa ajili ya maumivu ya Kichwa na homa. Nina kunywa Lita la chai ya Tangawizi na Limao na ninatafuna kitunguu Swaumu na Tangawizi pia kama Sina Akili nzuri. Ninaendelea vizuri maana ilibaki kidogo nife kutokana na kukohoa mno na joto kuwa juu
Tunajua wanachama wa Saccos juhudi zao za kusambaza huu ugonjwa kama alivyofanya Mwenyekiti wa Maisha kutokujitengaTusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Hizo wishful thinking hazitatokeaTusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Aisee pole mkuu,nimei-screen shot post yako kwa matumizi ya baadae unajua binadamu hatujui linalokuja kesho.Nina dawa za kila dalili yani hapa Nina Athromycine kwa ajili ya tumbo, Mucolyn ya kikohozi, Diclopa kwa ajili ya maumivu ya Kichwa na homa. Nina kunywa Lita la chai ya Tangawizi na Limao na ninatafuna kitunguu Swaumu na Tangawizi pia kama Sina Akili nzuri. Ninaendelea vizuri maana ilibaki kidogo nife kutokana na kukohoa mno na joto kuwa juu
Nimesikia watu wakisema kuhusu Equador kumetokea nini mkuu kama hutojali. Au ni googleNGOs, viongozi wa dini na vyama vya siasa, tusaidieni kuijulisha Dunia, na hasa mamlaka za Umoja wa Mataifa kuwa huku tuna Serikali ambayo haiwajibiki kwa raia wake kikamilifu dhidi ya janga la Covid-19. Tusisubiri mpaka ifikie ile hali ya Ecuador.
Hata kama hakuna kitakachofanyika lakini angalao Ulimwengu utakuwa umejua. Na siku moja, wale watakaonusurika watakuwa na haki ya kuilaumu jamii ya kimataifa kwa kutokusaidia kuwaokoa wananchi ambao uhai wao ulipuuzwa na Serikali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app