Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Na we una kinga ya corona?Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
Mkuu unaonaje kabla hujafa ukatujukisha nini kilimtokea saa8?Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Kabisa mkuu siachiUkishafikia Happ,umeshavuka,endelea dozi,ndani ya wiki ijayo,uko fit
kuleta brabra za kisiasa kwenye maradhi ni ujuha. Mlitaka uwazi upi zaidi mkonge nyoyo zenu! Corona sio mas hara, inaua sana kwa vile haina dawa wala chanjo.....Tulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.
Acha upuuzi dogo.Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
WeAisee pole mkuu,nimei-screen shot post yako kwa matumizi ya baadae unajua binadamu hatujui linalokuja kesho.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kama mliweza kuwa na ujasiri wa kuteka na kuua wenzenu mnakosaje ujasiri wa kumwambia baba yenu kuwa taifa linaangamia ?Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Uzuri corona inaanzia Juu.
Kwa nionavyo kwa sasa mtu akipata dalili za Corona hawezi kujisalimisha kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo kwa hiyari!Mimi siwezi
Mkuu hii watoto wa Uswazi wanaita "Kupigwa Mande" ..... kotekote kichapo!Uzuri corona inaanzia Juu.
Man KPkuleta brabra za kisiasa kwenye maradhi ni ujuha. Mlitaka uwazi upi zaidi mkonge nyoyo zenu! Corona sio mas hara, inaua sana kwa vile haina dawa wala chanjo.....
Tuzingatie ushauri wa wataalamu wa afya na tupuuze mihemko ya wanasiasa uchwara na mababu/bibi jinga wa mitaani, ili kikombe hiki kitupite bila ya kutuachia makovu makubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Mamba atafanyajeKwenye hili la Korona serikali ya CCM inachofanya ni sawa na kufuga mamba kwenye beseni.
Jaribu siku moja kuchukua katoto cha mamba ukafuge bafuni kwako alafu awe mkubwa uone.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Mamba atafanyaje
One love
Walitutukana saaanaa kuna lingne lilisifia mno juzi nimeliona linasema kuwa linajuta kumpigia kura jiwe, Haya matanzania ni majinga Sana majitu yalielezwa kuwa huyu sio mtu na yalikuwa yanaona halafu yanaziba pamba eti yanakuja kukutwa na majanga yanasema eti yanajuta mashtole Sana yanauzi SanaTulipokuwa tunawaambia haya maneno tangu mwanzoni mwa 2016 (actually kuna watu walianza kutuonya wiki ya kwanza tu ya utawala wake bwana jiwe) mlitutukana kila aina ya matusi. Mlidhani athari zake zitakuwa kwa kina Mbowe na wenzake pekee?
Na bado, unachokiona sasa ni cha mtoto. Subiri kubwa lake.