Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,765
- 6,726
Aliyeleta huu uzi ni mwana Lumumba mwenzio! Au hujamuelewa?Tunajua wanachama wa Saccos juhudi zao za kusambaza huu ugonjwa kama alivyofanya Mwenyekiti wa Maisha kutokujitenga
Ameamua kutubu.Karma is a bitch kweli,Leo hii wewe Ni wa kulaumu kweli serikali yet tukufu?..!!!
Nakwambia tulia Hapo Hapo,let's shit set itself up
Siongelei siasa kwani so wakati wote ni wa lumumumbs vs ufipa au wapiga polishi n.a. wachoma mishikaki vs wakulima/ wafugaji / n.k
Nani wa kulifikisha hili kwa WHOWHO iimulike serikali ya Tanzania [emoji1241] kwa kuficha ukweli issue ya Coronavirus
Naomba kuweka kumbukumbu vizur. Nilisema kwenye moja ya uzi wangu Covid 19 imetukuta wakati mbaya sana nakuwahusia Watanzania wasali naku support serikali kutofunga shughuli.Ww ndio ulikuwa msifiaji wa kila kitu, saa hii ulichokuwa unasifia kimeanza kutoa matunda kisha unakimbia mavuno!
Usishangae tumefikaje hapa wakati ww mwenyewe ulishiriki kuua nguvu ya kuhoji ndani ya hii nchi.
Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Mimi nitaamini nikiona hapo kwenu wameondoka na corona kama watano hivi. Mhudumu ongeza bia!Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania.
Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika nawao watazikwa.
Kwakuwa mambo yanaenda kwa siri huduma za afya zitakuwa mbaya why? Hakuna anaye taka kufa na kwakuwa serikal imeficha taarifa basi tumekwisha.
Nani jasiri atamwambia Rais ukweli kauli yake inaliangamiza taifa silence na mwisho hata yeye hatokuwa salama na serikali yake? Nina alie mshauri ? Na nikwamasilahi gani?
Anza wewe
Dah! Umeandika kwa masikitilp kweli!Mfumo wa uendeshaji wa nchi hii si mzuri.
Unaachaje maisha ya watanzania mil 56 mikononi mwa mtu mmoja??
Kwamba yeye ndiye anayeamua kila kitu, kuhusu tiba, elimu, kazi, fedha, ulinzi nk??
Sisi sote ni binadamu, tunaweza kuugua ama kufa.
Mfano huyu mtu akawa ameugua ugonjwa wa akili bado tunaendelea kutii na kufuata matakwa yake tu??
Ikitokea hivyo, na dalili zinaonesha hivyo basi Watanzania tumekwisha.
Wote huko kwenye mihimili ya sheria, bungeni, na vyombo vya ulinzi na usalama hakuna wenye nazo wakaamua kwa ajili ya ndugu zao watanzania mil.56 wanaokufa bila huruma na gonjwa hili baya la corona????
Sent using Jamii Forums mobile app