Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Wtf?Mnatrendisha zenu kwa sababu hamjui kizungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wtf?Mnatrendisha zenu kwa sababu hamjui kizungu
Unachekesha wewe, kipi nimekanusha, siku zote nimesema hakuna Mtanzania amezuiwa kuingia Kenya, ila kila anayeng'ang'ania lazima apanue mdomo tumpime.
Kuhusu ndege mlizuia zetu tukadhani hayo mabombadia mliojitutumua na kujinyima kwa umaskini ili myanunue yatachangamkia fursa, sasa kwa mlivyo wazembe mumeshindwa, wengine wamechangamkia na kunyakua fursa zote, KLM ambao tuko nao ubia wamewafyeka.
Umepewa facts umebaki kujichekesha chekesha kama mmama.Bwahaha!!top 20 ndio unaturingishia hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Top 20 kenyan kuna nchi nyingi sana, sai tulipofikia tunakomaa na vya kwetu alafu wengine badae..
Wanafiki tumewaelewa
Nyambafu!!! hujui Kenya bado wana corona!!Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.
=====
The Tanzania-based Air Precision has cancelled planned resumption of flights to Nairobi just days after the government said it would not deny them traffic rights amid the ongoing standoff between the two countries.
In a notice published on the airline’s website, Precision Air said it was suspending the plans because of low demand of passengers seeking to fly.
Tanzania has stopped three Kenya airlines including Kenya Airways from flying to Dar, Zanzibar and Kilimanjaro after Nairobi excluded it from the list of safe countries whose citizen will not be subjected to mandatory 14 days quarantine on arrival.
“We regret to inform you that due to insufficient demand, we have postponed the resumption of Nairobi flights. A new date and schedule will be published on our website soon,” said the airline in the notice.
The airline was to resume flights tomorrow flying from Dar es Salaam via Zanzibar to Nairobi and back, and would have capitalised on the absence of Kenya Airways, which has a 40 percent stake on Precision Air, to meet the needs of travellers.
Zanzibar is one of the routes with the highest traffic in the region because of its resort nature that has made it popular with the tourists.
Prior to the ban, KQ which operates its regional hub from Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, had a permit to fly 14 times to Dar es Salaam every week, three times to Kilimanjaro and two times to Zanzibar, mostly ferrying tourists and business travelers between the two destinations.
Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) director-general, Gilbert Kibe said talks are ongoing with Tanzania to allow resumption of KQ flights to Zanzibar and Dar es Salaam.
Prior to the ban on Kenya Airways flights, Kenya and Tanzania had been involved in retaliatory border blockades which affected thousands of truckers and businesses.
Kenya’s latest Covid-19 red-list is likely to heighten the stand-off with its neighbour Tanzania—possibly leading to more trade wars between the two nations.
Mr Kibe said Precision Air has an existing traffic rights that will not be nullified on the account of the existing stalemate between Kenya and Tanzania.
Kenya Airways, whose traffic rights to Tanzania were still valid at the beginning of this month when the carrier resumed international flights, were revoked by the Tanzanian authorities on retaliatory grounds.
Tanzanian airline cancels plan to resume Nairobi flights
Mkuu ww ni mtu mzima ila unafeli sana, usipende kudhani vitu usivyovijua, tumeban ndege zenu as a reciprocal measure, hii ni purposefully done, not to take chances while we pinned u down, ni hakuna in wala out, tutachukua fursa hii ban ikiisha, mkitaka iishe, kwa upande wetu mtakula ban mpaka mtuondoe kwenye list yenu ya kijinga mnayotumia kama justification ya kuibia Wakenya maskini, but since u guys mmeshachukua pesa na masharti ya mabwana zenu ni kuleta impression kwamba Tz kuna Corona, basi mtakula jeuri na utumwa wenu mpaka mwisho wa dunia. Bongo ulikuwa huijui, utaijua vizuri sasa.
Ug hawajaweka iyo list. Sasa kama hamtutoi kwa iyo list, usije na hadithi za mmetuachia sijui uwanja tumeshindwa, hatujashindwa, tumeamua tu iwe kama mtakavyo na sisi tunajaribu kuwakinga tusiwaambukize, tutaona nani atakaelegeza hii kamba, Kati ya Kenya na Tz, si mlilianzisha, tutamalizia.List hamtoki mpaka dawa ya corona au chanjo ije Kenya, tujihakikishie usalama wetu kwanza, mindege kuja Dar haiwezi ikalinganishwa na uhai wetu au afya ya watu wetu.
Ban kila kitu, tufungiane mipaka, fukuza Wakenya wote huko lakini hatubadilishi eti tuachie muingie bila kupimwa, lazima mpimwe na wataalam wetu, hilo litaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho.
Halafu ndivyo mnafanywa kote hadi Uganda, ila yakifanywa na Kenya mnalia sana.
"Dawa ya Corona au chanjo, IJE Kenya," venye mmeshikiwa akili, very stupid mindset.List hamtoki mpaka dawa ya corona au chanjo ije Kenya, tujihakikishie usalama wetu kwanza, mindege kuja Dar haiwezi ikalinganishwa na uhai wetu au afya ya watu wetu.
Ban kila kitu, tufungiane mipaka, fukuza Wakenya wote huko lakini hatubadilishi eti tuachie muingie bila kupimwa, lazima mpimwe na wataalam wetu, hilo litaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho.
Halafu ndivyo mnafanywa kote hadi Uganda, ila yakifanywa na Kenya mnalia sana.
Hv mkuu, leo umepata angalau mlo mmoja na familia yako?Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
Hehee!!top 20 ni mbili tu, nimekuumbua sasa umeona uanze kujitoa ufahamu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani ninyi kuishi bila Tanzania ni impossible, haitotokea, tupo addictive kwenye vichwa vyenu sana, sijawahi kusoma comments huko YouTube na Instagram nikose wakenya wakijibaraguza kujipendekeza Tanzania, wengine mpaka wanakana ukenya wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ninyi wa mombasani ndio balaa blue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ug hawajaweka iyo list. Sasa kama hamtutoi kwa iyo list, usije na hadithi za mmetuachia sijui uwanja tumeshindwa, hatujashindwa, tumeamua tu iwe kama mtakavyo na sisi tunajaribu kuwakinga tusiwaambukize, tutaona nani atakaelegeza hii kamba, Kati ya Kenya na Tz, si mlilianzisha, tutamalizia.
Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.
=====
The Tanzania-based Air Precision has cancelled planned resumption of flights to Nairobi just days after the government said it would not deny them traffic rights amid the ongoing standoff between the two countries.
In a notice published on the airline’s website, Precision Air said it was suspending the plans because of low demand of passengers seeking to fly.
Tanzania has stopped three Kenya airlines including Kenya Airways from flying to Dar, Zanzibar and Kilimanjaro after Nairobi excluded it from the list of safe countries whose citizen will not be subjected to mandatory 14 days quarantine on arrival.
“We regret to inform you that due to insufficient demand, we have postponed the resumption of Nairobi flights. A new date and schedule will be published on our website soon,” said the airline in the notice.
The airline was to resume flights tomorrow flying from Dar es Salaam via Zanzibar to Nairobi and back, and would have capitalised on the absence of Kenya Airways, which has a 40 percent stake on Precision Air, to meet the needs of travellers.
Zanzibar is one of the routes with the highest traffic in the region because of its resort nature that has made it popular with the tourists.
Prior to the ban, KQ which operates its regional hub from Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, had a permit to fly 14 times to Dar es Salaam every week, three times to Kilimanjaro and two times to Zanzibar, mostly ferrying tourists and business travelers between the two destinations.
Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) director-general, Gilbert Kibe said talks are ongoing with Tanzania to allow resumption of KQ flights to Zanzibar and Dar es Salaam.
Prior to the ban on Kenya Airways flights, Kenya and Tanzania had been involved in retaliatory border blockades which affected thousands of truckers and businesses.
Kenya’s latest Covid-19 red-list is likely to heighten the stand-off with its neighbour Tanzania—possibly leading to more trade wars between the two nations.
Mr Kibe said Precision Air has an existing traffic rights that will not be nullified on the account of the existing stalemate between Kenya and Tanzania.
Kenya Airways, whose traffic rights to Tanzania were still valid at the beginning of this month when the carrier resumed international flights, were revoked by the Tanzanian authorities on retaliatory grounds.
Tanzanian airline cancels plan to resume Nairobi flights
😅😅 Ni mbili kwenye akili yako, tena saivi ni 10, mboso kaingia trending tayari, wakati wapo wakenya kibao wametoa ngoma lakini hawajanusa trendyHehee!!top 20 ni mbili tu, nimekuumbua sasa umeona uanze kujitoa ufahamu..
Ila ujue takwimu zinasema km mnatuwaza sana[emoji23][emoji23]
Ile siku utaona forum ya kenya iko na tz section ni tag..
Wewe piga chorus zako za kila siku sijui iq, umaskini, on the ground we know who is poor, can't feed themselves and has low iq, mfano wewe unavyoreason na hii chorus yako ya kila siku, just shows how low iq you are, serikali yenu inavyowaibia na kuwaweka curfew usiku, shows what a shit hole low iq nation, you guys are, venye mnakuwa taken for a ride with covid 19 millionaires, Tz unaowaita maskini & low iq has been messing around with your shit hole and the poor shit hole can't do nuthn other than complaining,Jaribu peleka pua lako Uganda ndio uelewe maana yake, kwanza Uganda wamewafanyia dharau kubwa zaidi ya tulichowafania nyie, wameweka jeshi UPDF mpakani, kajamba yeyote thubutu kupita bila kupimwa uchezee vichura. Wao wametenganisha jamii za mpakani hata wale huchangia makabila. Nafuu kwentu sisi hatujawatenganisha jamii za mipakani, wao bado wanaishi kama ndugu.
Kuhusu ndege mumedhihirisha nyie bado ni wale wale wazembe wa kutupwa jalalani, mumeachiwa uwanja maana hatujazuia ndege zenu, ila mkazubaa fursa zimenyakuliwa na Rawndair, KLM n.k., nyie bado mumeganda hapo mnajipa vijisababu eti hakuna abiria wa kutosha, watu wa hovyoo sana nyie na mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana mpo mpo tu.
Tanzania has been ranked the 24th poorest country in the world
Mumetajwa kuwa watu wa IQ ndogo Afrika
Tanzania has the lowest IQ in East Africa
Mafara hawa wanapenda kutufuatilia fuatilia afu wa nakuja na karamani Chao uchwara, source ni account ya Twitter, eti watz tuna wawaza sana, mbona hawa trend in our YouTube trends.[emoji28][emoji28] Ni mbili kwenye akili yako, tena saivi ni 10, mboso kaingia trending tayari, wakati wapo wakenya kibao wametoa ngoma lakini hawajanusa trendy
Wanajisahaukisha tuMafara hawa wanapenda kutufuatilia fuatilia afu wa nakuja na karamani Chao uchwara, source ni account ya Twitter, eti watz tuna wawaza sana, mbona hawa trend in our YouTube trends.
Walitaka susia our music, hawakuweza, hakuna kitu wameweza against Tz, afu fara mmoja anasema wao wana high iq.
The audacity
Wewe unaimizwaje na umasikini wetu?..Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
Wewe piga chorus zako za kila siku sijui iq, umaskini, on the ground we know who is poor, can't feed themselves and has low iq, mfano wewe unavyoreason na hii chorus yako ya kila siku, just shows how low iq you are, serikali yenu inavyowaibia na kuwaweka curfew usiku, shows what a shit hole low iq nation, you guys are, venye mnakuwa taken for a ride with covid 19 millionaires, Tz unaowaita maskini & low iq has been messing around with your shit hole and the poor shit hole can't do nuthn other than complaining,
Umaskini, population wise, Kenya ndio ina asilimia kubwa ya maskini ukicompare na Tz, Kenya ndio mna high unemployment rate kuliko Tz, afu unakuja na ngonjera zako hapa, wengi huku JF tu nakuona ni lifara tu limoja with vry low iq, lenye same chorus ambayo humsaidia kufeel on top whilst in reality, every east African with senses knows now that Tz ndio baba lao.
Thanks to Corona, tutazidi kuwa prove kwamba nyinyi ni maskini with low iq and you can't do anything to Tz sababu tumewaweka kiganjani, toka lini low iq akamweka high iq kiganjani, only in EA.
Let the game continue.
Zilete hzo kumi jomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Ni mbili kwenye akili yako, tena saivi ni 10, mboso kaingia trending tayari, wakati wapo wakenya kibao wametoa ngoma lakini hawajanusa trendy
Subutu!!museven anahamu nao sana ndio manake wanajitoa ufahamu kw kujitia kuiandama kenya na kuipotezea ugandaJaribu peleka pua lako Uganda ndio uelewe maana yake, kwanza Uganda wamewafanyia dharau kubwa zaidi ya tulichowafania nyie, wameweka jeshi UPDF mpakani, kajamba yeyote thubutu kupita bila kupimwa uchezee vichura. Wao wametenganisha jamii za mpakani hata wale huchangia makabila. Nafuu kwentu sisi hatujawatenganisha jamii za mipakani, wao bado wanaishi kama ndugu.