Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

Context ni kwamba Kikwete kakaa miaka 10 ukijumlisha mi 5 tu ya Samia ama Mita I tu ya Magufuli utakua unamuonea, ni Either ugawanye Deni na GDP ama deni na miaka waliyokaa upate Figure nzuri kimahesabu.
 
Hizo ndio zile data zilzokuwa discussed kila siku humu za Kupika, Inakuaje mwaka huu Export iwe 2M then mwaka unaofuatia iwe 400M unaofuatia tena iwe 2M?

Assume hizo data ni sahihi na wewe ni mkulima, mdogo unaweza afford mwaka huu ulime upate faida mwaka I ulime Upate hasara yote, then mwaka unafuata faida unafuata hasara etc, hakuna mwaka kipindi cha Kikwete ambazo Export revenue zilikua 2M.

Pitia huu uzi watu wakidscuss kupikwa kwa data za korosho, uzalishaji na bei zilizouzwa.

 
Usianze kuahangaika. Tuchukue tu hadi September 2015. Hapa deni lilikua $15b, hadi may 2021 Deni lilikua $24b, ambayo bado ni ile ile $9b. Hiyo trillion 61 ni kwa TShs, hapo sisi tumezungumzia dollars, Wala usichanganye

Wakati wa JK September 2015 Deni likiwa $15b, soma BOT report hapa

Wakkati wa magu hadi April 2021 ilikua $24. Nimeongezea mwezi mmoja kwa magu nimepunguza miwili kwa jk ili uwe na amani zaidi.

Hapo naamini utaelewa Kama bado sema

Hiyo kukopa trillion 40 itafute humo kwenye reports za BOT kama utaiona, mwanasiasa huzungum,a chochote na ukichagua kuamini hilo badala ya reports basi usichuje kuamini mengine. Lissu alisema kikwete ni fsadi mkubwa, je unakubaliana nae? Alisema Abdul na mama yake ni wala rushwa je unakubaliana nae?

Tulisema twenda kwa data basi twende kwa data
 
Uliweka data za BOT ni wewe, hapa tena unasa huziamini ni za kupika? Ulipoziweka ulikua hujui kuwa ni za kupikwa? Au sababu ya wewe kuweka link ya data za BOT ni ipi? Ulijua hatutafungua hiyo link?

Kwa nini iwe ya kupikwa hadi leo? Huamini hata wanaozitoa hizo data kwa Sasa?

Basi tusemw BOT waongo, ingia hapa kwa FAO uone huo mwaka ulinganishe na za BOT
 
Context ni kwamba Kikwete kakaa miaka 10 ukijumlisha mi 5 tu ya Samia ama Mita I tu ya Magufuli utakua unamuonea, ni Either ugawanye Deni na GDP ama deni na miaka waliyokaa upate Figure nzuri kimahesabu.
Hiyo sio context, context ilikua ni total ya Deni lote nani kakopa ngapi.
 
C
For the sake of discussion tutumie data zako ni $9B imekopwa, within 5 years,

Umesema mwenyewe Kikwete Deni la Taifa lilikua $4B japo ningependa kuona na riport ya Bot mwezi kama huo Toka kwa mkapa.

So Tuna Magu
9B kwa 5 Years

Kikwete
11B kwa 10 years

9 gawanya 5 ni 1.8B usd per year
11 gawanya 10 ni 1.1B usd per year.

700M usd ni takriban Trilioni 2 zaidi Magu alikua akikopa kwa mwaka compare na mtangulizi wake.

So utazunguka utarudi pale pale.

Hapo hatuja factor ukuaji uchumi.
 
Wanasema halotel ana kipande
 
 

Attachments

  • IMG-20250209-WA0004.jpg
    183.7 KB · Views: 2
Kushindwa kulipa wakandarasi ni kwamba Mama hana pesa wakandarasi mda sasa bora kopa lipa madeni ya ndani pesa izunguke ndani mambo ya kununu magoli sio mchongo wekeza kwenye Nguvu kazi legeza mashariti ya benk mikopo iwe riba nafuu Bank zikopeshe na Nyie Serikali mlipe kwa wakati madeni ya ndani mbona nchi ingechangamka
 
Twende Taratibu 2019/20 tumepata revenue 500M usd kwa link yako uliyoweka ya mwanzo Bot

Kwenye link yako ya pili uzalishaji tani 232K

So kilo ilikua dola 2.15 roughly 5000 na kitu.

Ila bei tuliyouza (kwa media zetu za kiswahili) inaonesha ilikua ni kati ya 1500-2300

Source

Sasa nielimishe mkuu, hio 1500-2300 imefikaje kuwa 5000?

Hio ni between 140M usd mpaka 220M usd tu, kama Data hazikupikwa nipe mchanganuo wake.
 
Wanasema halotel ana kipande
Inawezekana, ila all in all Halotel ilikua ni mkombozi wa watanzania kabla Awamu ya 5 hawaja anza kupanga Mabando.


Kwa 10,000 Halotel royal bundle ulipata unlimited internet, walisambaza 3G karibia nchi nzima, compare na sasa wakati ule tulikula neema.
 
Kamleta Dangote Tanzania akawekeza zaidi ya Trilioni, kawaleta Wavietnam ambao ngumu kuwakuta popote Duniani wakaja kusambaza Internet vijijini nao zaidi ya Trilioni wamewekeza, unapata vipi huu uwekezaji ukijifungia ndani?
Ukapimwe ndugu kwa hiyo huwezi kukaa kwako ukavutia wawekezaji mpaka uwafate majumbani kwao huu ni ujinga wa mtu mweusi kufikiri hivyo.inabidi tumpinge adui ujinga.
 
Hajawahi safari popote kutafuta Msaada bali connection za biashara,uwe jnafuatiloa ziara za Rais.

Na Kwa taarifa Yako hajawahi fanya ziara ya hasara.
Tupe ushahidi bwana magurue usilete mboyoyo hapa
 
Hii umeweka kama layman, hujui kwa nini kila mwaka deni linaongezeka?

Mkapa mwaka alikuta Deni lipo $7b na kufikisha $8b, ndio mpngo wa kufuta madenic nchi maskini ukalishusha hadi $4b ambayo jk aliipeleka mpaka $15b

Lugha rahisi mkapa alikopa $1b kwa miaka 10, unahisi kwa nini JK alikopa $11b mara 10 ya mkapa? Hili swali ndio linajibu kwa nini magu alikopa $9b kwa 5 years na mama Samia $9b kwa miaka minne
 
Nimetoka kukuambia kuwa aliyeweka link ya BOT ni wewe, angalia tena mwanzoni. Mm nimesoma na kuchambua ulichoweka labda upikua hujui kuwa hiyo hiyo link Ina advantage kwa ulichotaka kionekane ni hasara

Pili tuamue tutumie taarifa zipi ambazo ni credible, maana hutaki za BOT unasema ni za kupikwa, alafu hapo hapo unaleta za page ya kilimo kwanza kwa nini nazo usiamini kuwa hazipo sawa?

Kama una doubt za BOT kwa nini ulianza kutuwekea link ya data za BOT? Na hapo umetoka Tena kuniambia niweke data za Deni za BOT. Tukubaliane sasa tutumie zipi
 
Ukapimwe ndugu kwa hiyo huwezi kukaa kwako ukavutia wawekezaji mpaka uwafate majumbani kwao huu ni ujinga wa mtu mweusi kufikiri hivyo.inabidi tumpinge adui ujinga.
Toa na mifano hai, Kila siku kiongozi wa Nchi X anamfata Nchi Y kuongeza ushirikiano haijaanza leo wala jana.
 
Data za Bot za zamani of course ni credible tulikua na mikataba na wafadhili hizo data kuwa published kwa uwazi, something open Government nimesahau jina Lake ila Magu akajitoa kupika data.

Tumia data zako Za local, mkulima alilipwa kiasi gani alipouza korosho yake? Millard Ayo na wengineo zimejaa kibao, msimu uliopita kuna waliolipwa zaidi ya 4000 kwa kilo,

Ukiangalia wakati wa Kikwete bei ilikua humo humo


MAGU alicrash korosho, inajulikana nchi hii, ni ubishi usio na maana hata kubishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…