Usianze kuahangaika. Tuchukue tu hadi September 2015. Hapa deni lilikua $15b, hadi may 2021 Deni lilikua $24b, ambayo bado ni ile ile $9b. Hiyo trillion 61 ni kwa TShs, hapo sisi tumezungumzia dollars, Wala usichanganye
Wakati wa JK September 2015 Deni likiwa $15b, soma BOT report hapa
Wakkati wa magu hadi April 2021 ilikua $24. Nimeongezea mwezi mmoja kwa magu nimepunguza miwili kwa jk ili uwe na amani zaidi.
Hapo naamini utaelewa Kama bado sema
Hiyo kukopa trillion 40 itafute humo kwenye reports za BOT kama utaiona, mwanasiasa huzungum,a chochote na ukichagua kuamini hilo badala ya reports basi usichuje kuamini mengine. Lissu alisema kikwete ni fsadi mkubwa, je unakubaliana nae? Alisema Abdul na mama yake ni wala rushwa je unakubaliana nae?
Tulisema twenda kwa data basi twende kwa data