Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Huyu jamaa anavyoongea kwa kupaniki ataanza kudharau yaliyofanywa na Magufuli
Atadharau miundombinu ya reli, barabara
.
Atadharau vita dhidi ya Rushwa aliyopigana nayo Magufuli wananchi watamuadhibu bila aibu
To a hoja hata moja ambayo Tundu lisu anaweza kuiongea acheni kucheza na moto nyie tunataka tuifundishe Dunia demokrasia na uhodari wa JPMYou are sadist
Mmepitisha kopo debe tupu ambaye hana hoja zaidi ya kupigwa risasiMbona unapwaya sana? Huna cha kuandika unaacha. Unawweseka hadi unatetetmeka hadharani? Ficha upungugu wako!
Utabiri wako jitabirie mwenyewe huwezi kupanga vita kisha umpangie Adui wako jinsi ya kupambana na wewe,Tundu lisu anazo data nyingi mno, kumbuka wapinzani wamezuiliwa kufanya mikutano kwa miaka mitano wanazo siri nyingi na zingine wanaenda kuzipata kwa wana CCM ambao watakatwa majina yao Dodoma kwa njia haramu za uonevu kisa report za kupikwa na CCM wenzao wenye wivu wa kushindwa kura za maoniHuyu jamaa anavyoongea kwa kupaniki ataanza kudharau yaliyofanywa na Magufuli
Atadharau miundombinu ya reli, barabara
.
Atadharau vita dhidi ya Rushwa aliyopigana nayo Magufuli wananchi watamuadhibu bila aibu
Hoja zinakuja kampeni ikianza acha kutaka ujue vyote ili mkaandae shambulio lingine kwa LisuTo a hoja hata moja ambayo Tundu lisu anaweza kuiongea acheni kucheza na moto nyie tunataka tuifundishe Dunia demokrasia na uhodari wa JPM
Hatuhitaji siri sisi tutamuaibisha ndugu yenu kupitia sanduku la kura siri kubwa anayoidanya Magufuli ni kuijenga Tanzania mpysUtabiri wako jitabirie mwenyewe huwezi kupanga vita kisha umpangie Adui wako jinsi ya kupambana na wewe,Tundu lisu anazo data nyingi mno, kumbuka wapinzani wamezuiliwa kufanya mikutano kwa miaka mitano wanazo siri nyingi na zingine wanaenda kuzipata kwa wana CCM ambao watakatwa majina yao Dodoma kwa njia haramu za uonevu kisa report za kupikwa na CCM wenzao wenye wivu wa kushindwa kura za maoni
Hana hoja hata moja zaidi ya kushambuliwa risasi ataongea nnHoja zinakuja kampeni ikianza acha kutaka ujue vyote ili mkaandae shambulio lingine kwa Lisu
Kajenga kwa pesa zake binafsi toka mfukoni? Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani, CCM wengi hawalipi kodi licha ya kuifaidi kodi kuliko walipa kodi wenyeweHatuhitaji siri sisi tutamuaibisha ndugu yenu kupitia sanduku la kura siri kubwa anayoidanya Magufuli ni kuijenga Tanzania mpys
Ya Malawi kenya congo Ghana zambia Gambia yanaenda kutokea TanzaniaSoma alama za nyakati. Jiandaeni kulazimisha ushindi wa CCM kwa kuua wananchi barabarani. Na huo ndio utakuwa mwisho wa Meko na CCM yake. Milele!
CCM tumejijenga kimfumo na kitaasisi wakikuondoa umendoka ww huwezi kuwa maarufu nje ya CCMWale wote watakaokatwa Dodoma kwa uonevu ujue moyoni watahamia upinzani licha ya kushinda na nguo za kijani majukwaani kwa hofu ya kuadhibiwa na katibu mkuu wa CCM
Tutampatia ushindi wa 100%Anae msema Rais Wetu Magufuli vibaya ni mpumbavu
Chadema karata yenu ya mwisho ilikuwa Tundu lisu what next?; msitegemeee migogoro ya CCM kujijenga mtapiga marktimeWalifeli kura za maoni kwa CCM wapo busy kuwahujumu kuwatengenezea tuhuma washindi wa kura za maoni CCM huko Dodoma wanapeleka kila aina ya Majungu lakini hawajui kuwa wanawatengenezea chadema njia bora zaidi ya kuvuna kura endapo CCM watabugi kwa kusikiliza fitna Majungu ya Wivu wa walioshindwa kura za maoni
Ni mwaminifu mchapakazi na hodari wa vita tutampa ushindi wa 100%Kajenga kwa pesa zake binafsi toka mfukoni? Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani, CCM wengi hawalipi kodi licha ya kuifaidi kodi kuliko walipa kodi wenyewe
Hali iko hivi mtaani!Subiri oktoba ifike ndio utapata jibu. Kama kuna huruma kwa vibaraka wa mabeberu.