Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Huyu jamaa anavyoongea kwa kupaniki ataanza kudharau yaliyofanywa na Magufuli

Atadharau miundombinu ya reli, barabara
.
Atadharau vita dhidi ya Rushwa aliyopigana nayo Magufuli wananchi watamuadhibu bila aibu
 
Mbona unapwaya sana? Huna cha kuandika unaacha. Unawweseka hadi unatetetmeka hadharani? Ficha upungugu wako!
 
Huyu jamaa anavyoongea kwa kupaniki ataanza kudharau yaliyofanywa na Magufuli

Atadharau miundombinu ya reli, barabara
.
Atadharau vita dhidi ya Rushwa aliyopigana nayo Magufuli wananchi watamuadhibu bila aibu
Utabiri wako jitabirie mwenyewe huwezi kupanga vita kisha umpangie Adui wako jinsi ya kupambana na wewe,Tundu lisu anazo data nyingi mno, kumbuka wapinzani wamezuiliwa kufanya mikutano kwa miaka mitano wanazo siri nyingi na zingine wanaenda kuzipata kwa wana CCM ambao watakatwa majina yao Dodoma kwa njia haramu za uonevu kisa report za kupikwa na CCM wenzao wenye wivu wa kushindwa kura za maoni
 
To a hoja hata moja ambayo Tundu lisu anaweza kuiongea acheni kucheza na moto nyie tunataka tuifundishe Dunia demokrasia na uhodari wa JPM
Hoja zinakuja kampeni ikianza acha kutaka ujue vyote ili mkaandae shambulio lingine kwa Lisu
 
Utabiri wako jitabirie mwenyewe huwezi kupanga vita kisha umpangie Adui wako jinsi ya kupambana na wewe,Tundu lisu anazo data nyingi mno, kumbuka wapinzani wamezuiliwa kufanya mikutano kwa miaka mitano wanazo siri nyingi na zingine wanaenda kuzipata kwa wana CCM ambao watakatwa majina yao Dodoma kwa njia haramu za uonevu kisa report za kupikwa na CCM wenzao wenye wivu wa kushindwa kura za maoni
Hatuhitaji siri sisi tutamuaibisha ndugu yenu kupitia sanduku la kura siri kubwa anayoidanya Magufuli ni kuijenga Tanzania mpys
 
Wale wote watakaokatwa Dodoma kwa uonevu ujue moyoni watahamia upinzani licha ya kushinda na nguo za kijani majukwaani kwa hofu ya kuadhibiwa na katibu mkuu wa CCM
 
Kajenga kwa pesa zake binafsi toka mfukoni? Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani, CCM wengi hawalipi kodi licha ya kuifaidi kodi kuliko walipa kodi wenyewe
 
Walifeli kura za maoni kwa CCM wapo busy kuwahujumu kuwatengenezea tuhuma washindi wa kura za maoni CCM huko Dodoma wanapeleka kila aina ya Majungu lakini hawajui kuwa wanawatengenezea chadema njia bora zaidi ya kuvuna kura endapo CCM watabugi kwa kusikiliza fitna Majungu ya Wivu wa walioshindwa kura za maoni
 
Soma alama za nyakati. Jiandaeni kulazimisha ushindi wa CCM kwa kuua wananchi barabarani. Na huo ndio utakuwa mwisho wa Meko na CCM yake. Milele!
Ya Malawi kenya congo Ghana zambia Gambia yanaenda kutokea Tanzania
 
Wale wote watakaokatwa Dodoma kwa uonevu ujue moyoni watahamia upinzani licha ya kushinda na nguo za kijani majukwaani kwa hofu ya kuadhibiwa na katibu mkuu wa CCM
CCM tumejijenga kimfumo na kitaasisi wakikuondoa umendoka ww huwezi kuwa maarufu nje ya CCM
 
Walifeli kura za maoni kwa CCM wapo busy kuwahujumu kuwatengenezea tuhuma washindi wa kura za maoni CCM huko Dodoma wanapeleka kila aina ya Majungu lakini hawajui kuwa wanawatengenezea chadema njia bora zaidi ya kuvuna kura endapo CCM watabugi kwa kusikiliza fitna Majungu ya Wivu wa walioshindwa kura za maoni
Chadema karata yenu ya mwisho ilikuwa Tundu lisu what next?; msitegemeee migogoro ya CCM kujijenga mtapiga marktime
 
Kajenga kwa pesa zake binafsi toka mfukoni? Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani, CCM wengi hawalipi kodi licha ya kuifaidi kodi kuliko walipa kodi wenyewe
Ni mwaminifu mchapakazi na hodari wa vita tutampa ushindi wa 100%
 
Subiri oktoba ifike ndio utapata jibu. Kama kuna huruma kwa vibaraka wa mabeberu.
Hali iko hivi mtaani!
malisa_gj-___CDcWL6qh12f___-.jpg
IMG_20200803_214916.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom