Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

We jamaa ni mpuuzi.

Upuuzi wako upo kwenye kutaja maendeleo ya TANZANIA yanaletwa na ccm.
 
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzani? Uzalendo ni kutafuna trilion 1.5 kienyeji kisha kumtoa kafara CAG? Uzalendo ni Ndungai kutafuna bilion 12 peke yake? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Uzalendo ni kupiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba
 
Miradi yote mikubwa iliachwa na kikwete ikiwa imesainiwa ni mwendelezo wa kikwete hakuna cha mda mfupi hapo acha kupotosha vingi vimeanza zamani licha ya kujaa ufisadi mwingi
 
Nazi social party walikuwa balaa. Watu walikuwa wanapigwa risasi hadharani. Usifananinishe na Ccm ambayo inakujengea JNHPP huku unao uhuru wa kujieleza.
Uhuru upo JF peke yake, kwenye vyombo vingine vya habari mawasiliano kama Whatsapp instagrams nk hakuna uhuru
 
Moja ya ugonjwa uliokosa kipimo na ili upone ni ujitambue wewe mwenyewe.
NI KUOGOPA KISICHOKUWEPO.
 
Cheka kwa nguvu kwani wewe ni mnufaika wa udhalimu huo unasaka uteuzi kama huna Akili nzuri
Uteuzi wa nini mimi nafanya shughuli zangu za kilimo. Nazungumzia ukweli siongei porojo na upuuzi kama wewe.
 
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Majibu yapi juu ya wizi wa Trilion 1.5 ambazo mlimtoa CAG kafara
Ndio maana nasema haupo sawa kichwani. Kwani PAC wakati wanatoa majibu bungeni hukusikia?
 
Hoja zote za kukariri na kuropoka ujinga mtupu. Alafu unajinasibu una akili. Unadhani serikali inaweza kujenga uwanja Chato au kuzui mikutano bila kufuata sheria na katiba?
Kama mlizuiwa bila kufuata sheria na katiba kwa nini hamkuenda mahakamani?
Unalazimisha ufisadi wa tril 1.5 na bil 12 wakati ni uongo mtupu.
 
Miradi yote mikubwa iliachwa na kikwete ikiwa imesainiwa ni mwendelezo wa kikwete hakuna cha mda mfupi hapo acha kupotosha vingi vimeanza zamani licha ya kujaa ufisadi mwingi
Ndio maana nasisitiza huna akili nzuri. Kwani akisaini Kikwete na akatekeleza JPM kuna tatizo? Ni Ccm hiyo hiyo inatekeleza.
Huo ufisadi unaosema unaoushahidi nao? Kama sio ujinga tu unaoongea humu JF.
 
Kama ni hivyo Serikali ya CCM inaitisha Uchaguzi wa nini?
Harafu usiwasemee Watanzania wote kama kwamba wanakipenda Chama chako.
Vinginevyo mnatoa vitisho Wapinzani wasigombee ili mchujkue ushindi wa mezani.
Nani kawasemea wengine? Hapa tunaweka ukweli halisi mambo.
 
Uhuru upo JF peke yake, kwenye vyombo vingine vya habari mawasiliano kama Whatsapp instagrams nk hakuna uhuru
Wewe uelewa wako wa mambo ni mdogo sana. Instragm watu wanapost mambo kwa kujiachia na hata watsapp. Ila unaachotaka ni watu watukane viongozi matusi ndio uone wako huru.
 
Rubbish
 
Mm na familia yangu tutachagua wapinzani.
Sitaki hanithi wala bwabwa lolote linipangie kura YANGU na familia YANGU tumpe nani.
 
Kwani Mrema yupo Ccm?
Hujui Mrema ni Agent wa MaCCM alitumika kuisambaratisha NCCR??
Kwani uzalendo ni kuuwa watu kuwapiga risasi na kuwapoteza??
Huna hata aibu, hujui CCM ni chama cha wauwaji, watoa rushwa na ushahidi uko wazi ua huoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…