Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa


Tofautisha kupindua serikali na kuwa na serikali ya watu.

Kumbuka kuwa na serikali ya watu ni wajibu wetu sote na hasa tulio wazalendo.

Asiyekuwa mzalendo was nini?
 
Futa hio NB yako.
 
Kilaza mwingine huyu hapa.Reward gani? Kama hakuna kitu kwanin anakubali kujieleza
Kilaza baba ako mpumbavu wewe.. huna lolote kutaka tu unyenyekewe, kama una connection mpe mtu wewe una tegemea graduates ndo katoka tu chuo aweze kumudu kila kinachotakiwa kufanyika ofisini? sasa aje kujieleza kwako kwa kipi ulichonacho. Wewe ni CEO wa bank au profesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…