Duh! Mimi nimetoa maoni ili kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa ngazi ya familia. Hasahasa zenye uwezo wa kifedha.
Ishu ya wajibu wa serikali mtashtukia mnasubiri sana kutatua, unakuta mtu anafikisha miaka 40-50 bila kazi au ramani 😂. Wale ni wanasiasa tu na akili zao zinawaza kushinda uchaguzi. Na msitegemee kuitoa ccm kwa kura za uchaguzi kwa maana jamaa wana historia ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi. Uchaguzi unakuwa ndoige, wakishinda ni kama wameshinda na wakishindwa ni kama wameshinda.
Na hakuna mtu muoga kama Mtanzania. Labda mkapindue serikali 😂
Tofautisha kupindua serikali na kuwa na serikali ya watu.
Kumbuka kuwa na serikali ya watu ni wajibu wetu sote na hasa tulio wazalendo.
Asiyekuwa mzalendo was nini?