Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

Acha mkuu.Cyo powa walijinyonga?
Inasemekana walikunywa Sumu. Ila kwenye msiba walidanganya wakasema waliumwa ghafla. Ila ili kulinda heshima ya familia na standards zao walidanganya kuwa "marehemu aliumwa ghafla na akafariki"
 
Noma sana mzee baba tatizo la ajira ni kubwa sana.. saiv kuna mpaka mabeki tatu wenye degree.. kuna beki tatu nishawahi kuona siku anawafundisha watoto wa boss wake hesabu nikashangaa iweje beki tatu anashuka mahesabu hv maana hawa wengi wanajua kuesabu na kuandika tu baada ya kupiga nae story mbili tatu ndo akaniambia ana degree ya uhasibu
Mimi nimekutana na kinyozi amesomea masuala ya upasuaji, surgeon. Nikadhani ni kamba. Jamaa katuonesha pdf ya vyeti kwenye simu yake. Sikuwahi kudhania mtu kasomea upasuaji/surgeon akakosa kazi.
 
Duh cio powa mzee.we unazan saikolojia yake iko sawa maan beki tatu wengi ni walioishia la 7 afu salary n 70-100k af na mentality ya jina beki tatu,bd kutuknwa,kaz kibao aisee.
 
Naomba viongozi wa dini msadie kufikisha ujumbe huu, misikitini na makanisani. Suluhisho la ukosefu wa ajira sio maombezi pekee. Masheikh, Maustadh, Mapadri, Maaskofu, Mitume, Manabii, Wachungaji na watumishi wa Mungu naomba mfikishe ujumbe na Mungu atawabariki.
Pia watu maarufu kwenye mitandao tafadhali saidieni kufikisha ujumbe huu huko Facebook, Instagram, Twitter, YouTube. Hata vyombo vya habari kama, radio, tv, magazeti fikisheni ujumbe
Viongozi wa dini hawatasaidia chochote kwenye hilo wazo lako maana hizo fedha wanazitaka wao wafanyie mambo yao.
 
Wabongo hatuna financial literacy. Tunapenda kuishi kwa kubangaiza na kuteseka, hata kazi unakuta mtu anaiita mihangaiko bora hata niggers wanasema hustling ila wangekuwa Bongo labda wangeita suffering. Hela iliyopatikana kwa shida inaonekana ya maana sana
[emoji23][emoji23][emoji23] chief hustling kwakiswahili ni nini?
 
Wahindi kufanya biashara siyo lazima awe na mtaji.

Akishakodi godown au frame anaweza kuchukua bidhaa za kuuza kwa mali kauli kwenye viwanda vya wahindi wenzao.
Ndio support inayozungumzwa hapo sasa
 
Hebu nichangie mtazamo wangu kwenye hili.

Mtaji wa kwanza ni nguvu zako mwenyewe. Kama vijana ni lazima ujitume katika kazi mbalimbali na uonyeshe uwezo wa kujisimamia kabla ya kupokea huo mtaji. Haijalishi ni kazi ya namna gani ila ni lazima uweke aibu kando na kuifanya.

Kwa mfano mm binafsi nakumbuka nimeshauza barafu nikiwa graduate. Nilipopanga palikuwa na wapangaji wengine, nikanunua vitu vingine kama sabuni, pipi,soda na vingine nikaanza kuuzia wapangaji kidogo kidogo. Baada ya muda Mungu akanibariki nikapata frame nikalipia nikaanza rasmi.

Kwa kweli hata sikupata support ya nyumbani na hii imenisaidia kuheshimu wateja na biashara pia.

Niwashauri vijana wenzangu, maisha siyo rahisi kama mnavyofikiria. Mkilalamika kuwa hampewi mitaji mnajichelewesha wenyewe kwenye kutimiza ndoto zako. Kwanza jiulize huyo unaetaka akupe mtaji yeye alipewa na nani mtaji wake??? Hapo ulipo tumia kila ulichonacho bila kujali kuwa nyumbani kuna Prado wala Harrier, toka angalia hata fursa ya ya kupata hela ndogo tu kwa Siku ila amini Mungu kuwa baada ya muda utafika mbali.

Mtaji upo mikononi na akilini mwako. Weka aibu pembeni ingia fanya chochote. Tizama hata vitu mnavyotumia hapo nyumbani kwa wingi uangalie pia upatikanaji wake na pia kwa namna unavyoweza kuwasaidia wengine kuvipata. Ukifanya hivi utajulikana na tayari utakuwa umeingia kwenye kutengeneza kipato.

Wewe ndio umeandika logic kuliko hata mwenye uzi mwenyewe, wasomi wengi spirit ya upambanaji hawana kabisa, mfano mtu anatoka mtwara kwenda mwanza interview kwenda na kurudi kama 300000k , kosa hiyo aende newala aoke korosho safi afunge hata vipaketi akatege mbezi mwisho atauza tu vitaisha au achomoke akanunue kuku tandahimba apeleke mtwara mjini kwenye masoko asome mchezo hawezi au ajiongeze afike njombe achukue viazi vya chips apeleke hata masasi baada ya tafiti lakini wapi kila leo anazurura mikoani kwenye usaili haya umri unasogea tu kila leo
 
Elimu yetu inafanya mtu awe muoga na kuamini kazi za ofisini ndio maisha wakati ni kujilemaza Angalia mtu kamaliza stashahada au shahada yake huyu anaufahamu anakubali kulala ndani muda wote huku akifanya application za hapa na pale wakati alitakiwa aende mtaani kwa mafundi pikipiki ajifunze hata idea za bodaboda akishajua atapata pa kuanzia au kwa sababu ana uelewa atafute hata mafundi wa umeme wa magari akiweka nia atajua kwani atafundishwa mtaani huku akijisomea kwenye mitandao ili aimarike zaidi, lakini anaomba kazi miaka 6 au 7 hajapata na hana ujuzi wowote ambao hautaki hata ada unataka tu ajichanganye apige sendo na jinzi azame kijiweni apambane hakuna atakae kusupport kama hajaona la maana unalofanya hayupo. Kikubwa umemaliza chuo ingia mtaani saka ujuzi wowote ule
 
Heri ya mwaka mpya 2023.

Moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na mafuriko ya watu wakiendelea kuomba kazi. Wengine ni wadogo zangu kabisa 😂😂😂 napiga nao pepa. Sasa kuna kitu nimekiona nimeona nitoe wazo. Kwenye interview huwa nakutana na masela zangu wa zamani na wenyewe wapo kwenye mpambano wa kutafuta kazi. Wengine ni wachovu kama mimi 😂😂😂. Ila nashangaa nakutana pia na wengine ambao kwao mambo safi na wenyewe wapo kwenye interview. Huwa nawauliza. Hivi ninyi kwenu si wakusuport uanzishe kitu? Unajua kimasiharamasihara unaeza kufika miaka 50 bado unayafuta kazi au unajitolea?

Unakuta mwingine kwao mzazi anamuweka ndani tu. Ila nje kuna magari makali, harrier, vanguard, prado e.t.c unakuta mzee wake anacheo kwenye serikali au sekta binafsi pia anazonyumba kadhaa za wapangaji ila dogo yupo ndani hawamsuport. Wanampahela ya kwenda kwenye interview tu na miaka inaenda. Au anajitolea kwerikweri 😂😂😂😂😂.

Wengine unakuta wazee wake wapo vizuri ila wana misimamo ya kizee kwamba ajira ndio kila kitu. Kila siku wanamuuliza dogo, mbona hautafuti ajira? Hao wazee huwa ni wakishamba sana wanadhani miaka hii ajira inapatikana kirahisi kama enzi zao, ukimaliza form four tayari una ajira 😂😂😂😂.

Pia kuna wengine wazee wao wanataka dogo asome zaidi ili apate kazi, unakuta mzee anamlazimisha dogo asome masters na PhD eti ndio itamsaida 😂😂😂😂😂

Kwa niaba ya majobless wengine naomba kuwaambia wazee wote wenye itakadi hizo. Ajira sio rahisi kama enzi zenu za miaka ya 60,70,80,90. Siku hizi watu ni mafuriko. Masters ni nyingi sana na ajira ni ngumu kwerikweri 😂😂😂😂😂.

Suluhisho ni sisi waTanzania tuanzishe utaratibu mpya wa kumaliza tatizo la ajira kwa ngazi ya familia.
Utaratibu ni kuchanga hela angalau mtoto apate mtaji au afanye partneship aanzishe mradi anaoona unafaa. Kama mnachanga mamilioni kwa ajili ya harusi, sendoff, kitchen party kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kujenga majumba ya wapangaji kwa mamilioni halafu unaambulia vilaki 3 kwa mwezi kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kununua magari, kluger, harrier, vanguard, kwanini usimsaidie mwanao?
Kama upo tayari kumsomesha mwanao masters na PhD kwa mamilioni halafu akose ajira, kwanini usimsaidie mwanao mtaji?

Muda umefika ninyi wenye angalau uwezo msaidie watoto wenu angalau mtoto apate mtaji wa kujiajiri au pawe na ushirikiano wa kifamilia kusaidia watoto majobless. Msipofanya hivyo mtashtukia mtoto anafikisha miaka 50 hana ajira wala chanzo chochote cha mapato 😂😂😂 wala bila familia. Natoa siri hii ila usimwambie mtu "VIJANA WENGI WA KIUME HAWAOI SIKUHIZI, KWASABABU HAWANA AJIRA WALA VYANZO VYA MAPATO VYA KUELEWEKA"

NB:
1. Huu ujumbe uko dedicated kwa wazee ambao pesa wanayo ila hawana connection ya kuwasaidia watoto majobless. Sisi tunaotokea maisha ya kuungaunga tunakutana ajiraportal 😂😂😂.

2. Mtoto atakayepewa mtaji lazima afanyiwe due diligence mapema mwenendo wa tabia yake asije akahonga hela yote 😂😂😂

3. Utafiti wa kina wa gharama na makadirio halisi wa mradi lazima ufanyike kwa kina bila papara.

Wengine mtaboresha zaidi.

Samahani kama kuna mtu atakwazika kwa maoni yangu.

Nawatakia mwaka 2023 wenye mafanikio.

Serikali na TRA wajibu wao ni upi?
Heri ya mwaka mpya 2023.

Moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na mafuriko ya watu wakiendelea kuomba kazi.

Wengine ni wadogo zangu kabisa 😂😂😂 napiga nao pepa. Sasa kuna kitu nimekiona nimeona nitoe wazo. Kwenye interview huwa nakutana na masela zangu wa zamani na wenyewe wapo kwenye mpambano wa kutafuta kazi. Wengine ni wachovu kama mimi 😂😂😂.

Ila nashangaa nakutana pia na wengine ambao kwao mambo safi na wenyewe wapo kwenye interview. Huwa nawauliza. Hivi ninyi kwenu si wakusuport uanzishe kitu? Unajua kimasiharamasihara unaeza kufika miaka 50 bado unatafuta kazi au unajitolea?

Unakuta mwingine kwao mzazi anamuweka ndani tu. Ila nje kuna magari makali, harrier, vanguard, prado e.t.c unakuta mzee wake anacheo kwenye serikali au sekta binafsi pia anazonyumba kadhaa za wapangaji ila dogo yupo ndani hawamsuport. Wanampa hela ya kwenda kwenye interview tu na miaka inaenda. Au anajitolea kwerikweri 😂😂😂😂😂.

Wengine unakuta wazee wake wapo vizuri ila wana misimamo ya kizee kwamba ajira ndio kila kitu. Kila siku wanamuuliza dogo, mbona hautafuti ajira? Hao wazee huwa ni wakishamba sana wanadhani miaka hii ajira inapatikana kirahisi kama enzi zao, ukimaliza form four tayari una ajira 😂😂😂😂.

Pia kuna wengine wazee wao wanataka dogo asome zaidi ili apate kazi, unakuta mzee anamlazimisha dogo asome masters na PhD eti ndio itamsaida 😂😂😂😂😂.

Kwa niaba ya majobless wengine naomba kuwaambia wazee wote wenye itakadi hizo. Ajira sio rahisi kama enzi zenu za miaka ya 60,70,80,90. Siku hizi watu ni mafuriko. Masters ni nyingi sana na ajira ni ngumu kwerikweri 😂😂😂😂😂.

Suluhisho ni sisi waTanzania tuanzishe utaratibu mpya wa kumaliza tatizo la ajira kwa ngazi ya familia.

Utaratibu ni kuchanga hela angalau mtoto apate mtaji au afanye partneship aanzishe mradi anaoona unafaa. Kama mnachanga mamilioni kwa ajili ya harusi, sendoff, kitchen party kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kujenga majumba ya wapangaji kwa mamilioni halafu unaambulia vilaki 3 kwa mwezi kwanini usimsaidie mwanao?

Kama unahela za kununua magari, kluger, harrier, vanguard, kwanini usimsaidie mwanao?
Kama upo tayari kumsomesha mwanao masters na PhD kwa mamilioni halafu akose ajira, kwanini usimsaidie mwanao mtaji?

Muda umefika ninyi wenye angalau uwezo msaidie watoto wenu angalau mtoto apate mtaji wa kujiajiri au pawe na ushirikiano wa kifamilia kusaidia watoto majobless. Msipofanya hivyo mtashtukia mtoto anafikisha miaka 50 hana ajira wala chanzo chochote cha mapato 😂😂😂 wala bila familia.

Natoa siri hii ila usimwambie mtu "VIJANA WENGI WA KIUME HAWAOI SIKUHIZI, KWASABABU HAWANA AJIRA WALA VYANZO VYA MAPATO VYA KUELEWEKA" na "MTOTO HALI CHETI".

Naomba viongozi wa dini msaidie kufikisha ujumbe huu, misikitini na makanisani. Suluhisho la ukosefu wa ajira sio maombezi pekee. Masheikh, Maustadh, Mapadri, Maaskofu, Mitume, Manabii, Wachungaji na watumishi wa Mungu naomba mfikishe ujumbe na Mungu atawabariki.

NB:
1. Huu ujumbe uko dedicated kwa wazee ambao pesa wanayo ila hawana connection ya kuwasaidia watoto majobless. Sisi tunaotokea maisha ya kuungaunga tunakutana ajiraportal 😂😂😂.

2. Mtoto atakayepewa mtaji lazima afanyiwe due diligence mapema mwenendo wa tabia yake asije akahonga hela yote 😂😂😂.

3. Utafiti wa kina wa gharama na makadirio halisi wa mradi lazima ufanyike kwa kina bila papara.

Wengine mtaboresha zaidi.

Samahani kama kuna mtu atakwazika kwa maoni yangu.

Nawatakia mwaka 2023 wenye mafanikio.

Forward huu ujumbe kwa wazazi wote mnaowajua. Au hata kwenye magroup yoyote. Ujumbe ufike. Hasahasa mzazi mweye mtoto jobless au anayejitolea.

Serikali hawana mchango wowote au wao ni kuwakamua watu tu? Rejea Diamond na saga lake.

Rejea mikopo ya elimu ya juu Kwa ajili ya kulipia elimu kwenye vyuo vya umma kuliko vyuo private. Rejea msururu Kodi na tozo.

Rejea zinazoitwa bima za afya kuhakikisha wazima wamo ili.kulipia wagonjwa.

Rejea ajira na vyeo kuwa na hati miliki ya walio navyo na familia fulani fulani.

Rejea malipo na marupurupu manono kwa vigogo na kutolipa kwao kodi.

Rejea vigogo kutostaafu. Kina Lukuvi, Chikwette na wenzao wamekuwapo maofisini tangu lini?

Nk, nk.

Serikali haina afueni yoyote Kwa watu wake?
 
Uko kijijini wanatengeneza barabara, unaona kuna. Mitambo greda, skaveta, unashindwa kumfuata hata operater kumuomba akuelekeze japo umlipe chochote upate ujuzi ili ubaki unatafuta namna ya kupata leseni na cheti plus elimu uliyonayo utapata michongo huku ukitafuta ujuzi wa mitambo mingine lakini anzia mtaani, sasa wenzako wanashangaa mitambo na wewe unatoka kuishangaa huku mkipiga story za simba ya yanga au dimond na kiba elewa mtaa ndio utakutoa hakikisha una potential zaidi ya moja usikubali kumiliki vyeti pekee bila ujuzi wowote huyo baba yako anaejiweza ukishapata ujuzi halafu mweleze naomba niende shinyanga chuo cha serikali cha mitambo nikazuge miezi miwili nipate cheti ili niwe na leseni maana kuoperate mitambo naweza atakupa support kabisa na connection atatafuta bila hiyana
 
Tatizo sisi ngozi nyeusi hatuna akili. Yaan Kila kikundi kiwe cha ukoo, kazini, familia, ni kujadili michango ya kusaidiana kwenye misiba tu. Hata hivyo vinavyoitwa vikoba sometime ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom