Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Magufuli as an individual + enforcers wake walikusudia kupata faida gani kwa kuua vyama vya upinzani nchini ?

Sometimes people can be so silly. So facking silly.
Magufuli ametusaidia kutuonesha kwamba nchi hii Ina mifumo dhaifu sana. Kikwete na watangulizi wake walitudanganya kuwa tuna demokrasia nzuri lahasha hatuna kabisa kitu kama hicho. Hivi CCM imefanya mambo mazuri saaaana hapa Tz kiasi kwamba iendelee kushika madaraka? Siamini katika hilo nchi nyingi Afrika hata duniani kwa ujumla wameshabadili vyama kushika madaraka mara nyingi sana kwanini Tz? Kuna kitu hakipo saaa kabisa hasa mifumo yetu ya namna ya kupata Viongozi.
 
Wamepiga hatua kubwa sana yaani ni jambo la kuigwa sana hili. Hapa Tz tumejawa na mambo ya kihunihuni tu Kikwete ni bora asingeenda Kenya. Kuna yule jamaa nadhani anaitwa Mahera alikuwa kwenye Tume ya Uchaguzi uliopita ajifunze kule kenya.
 
Kuna yule jamaa nadhani anaitwa Mahera alikuwa kwenye Tume ya Uchaguzi uliopita ajifunze kule kenya.
Kuna watu wana uwezo wa kujifunza lakini pia wapo wasio na uwezo kabisa wa kujifunza na watu hao ndio CCM inawapenda.

They cannot learn and if learning was thrust down their throats they would only end up suffocating...they cannot swallow!

Watu aina hii CCM inawapenda sana kwani ndio mtaji wao...ujinga ni mtaji mkubwa wa CCM na ukichanganywa na unafiki, CCM baba lao!
 
Kenya walianza kubadili katiba, Bongo hamtaki kabisa mambo ya katiba ili muendelee na hila zenu. CCM wanajua wanachokiogopa na sio uchaguzi mfumo mzima wa kufanya siasa ni wa kiwaki hapa bongo
Mijitu inakwambia katiba mpya haiko kwenye ilani yetu!!!kwaiyo ni mpaka watakapojiskia wao kitu ambacho hakitatokea
 
Kenya mpaka wamefikia hapo walichapana na damu ikamwagika, naomba sisi tusipitie njia kama hiyo ila kuna mijitu inatulazimisha kufika uko kwa wizi wao wa kura
Ni bahati mbaya lakini wakati mwingine kwenye maisha hauwezi kupata heshima unayostahili mpaka ukiwashe.
 
Hapa kwetu, takataka za aina hiyo ndio zimejaa mahakamani, bungeni, vyombo vya dola na madarakani.
 
Subiri matokeo
Hadi leo siku ya tatu bado wanajumlisha tu
 
Hapa kwetu, takataka za aina hiyo ndio zimejaa madarakani, bungeni, vyombo vya dola na madarakani.
Kwa maneno yao wenyewe wengi wao wanakiri kuokotwa tu majalalani. Nobody, I repeat, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuunga mkono hiki chama chakavu kisicho na malengo wala vision ila kwa ulafi tu,
 
 
Subiri matokeo
Hadi leo siku ya tatu bado wanajumlisha tu
Ndio nyie hao tunaowasema, hebu angalia hii procedure ambayo kwa hapa kwetu ingekuwa kama kwenda sayari ya Pluto na kurudi...

Na hii ni safari ya kwanza wanaitumia...teknolojia hii...

Kwa hapa kwetu tumeunda taasisi ya teknolojia ambayo kazi zake ni kufuatilia wakosoaji wa serikali wanaandika nini mitandaoni na kuwatoza fedha maradufu watumiaji wa mitandao wanaotafuta tu namna ya kujiajiri katika ulimwengu huu wa utandawazi unaoenda kasi.

Tunapenda mno vya bure. Tunavuna kwenye mashamba ya wenzetu. Tumeletewa bure mitandao kurahisisha mawasiliano, sisi tuna watu wameajiriwa wakilipwa mamilioni eti kupanga bei katika kutumia mitandao hiyo. Je kama Watanzania tuliwekeza nini katika mitandao hii hadi tuvune?

Afrika Mashariki tulikuwa wa kwanza kupewa, na si kupigania uhuru kama wenzetu, lakini tutakuwa wa mwisho kutetea na kulinda uhuru wa watu wetu....shame, shame, shame!
 
Amen
 
Inasikitisha sana
 
Hatuchukulii kila mchango kwa umuhimu huo bro, ukiuliza swali kama halijajibiwa ni jambo la kawaida kabisa maana sio mtihani. Fahamu humu ni mitandaoni, sio kwenye chumba cha mtihani useme kwamba kila swali lina marks kadhaa.
EeeenHeeeee!

Naona hii "mitihani" ilikuachia alama ya kudumu!

Basi sawa, mkuu 'Tindo'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…