DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Sawa mtakuwa kama Kenya.Tulipata uhuru Kwa njia ya Amani.
Tunaandika KATIBA mpya Kwa njia ya AMANI.
Na baada ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA tutafanya uchaguzi HURU na HAKI,
Ameeeen
Tuna Kazi ya kufanya kabla ya kufika huko..Kenya they are the best tuache utani.
Deep state yao iko vizuri sana kuliko ya Rwanda na DRC huko.
Tatizo kwa Tanzania ni kwamba wapinzani tunawataka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi! Huwewzi kumwachia nchi asaiyeaminika! Mara 100 umnyang'anye nchi iwe salama kuliko umwachie nchi iparaganyike! Huo ni ukweli mchungu hata mimi unaniuma lakini afadhali uniume kuliko kutumbukia kwenye sintofahamu!Come 2025,tutakuwa tumewapita mbali Sana kwenye masuala ya welfare..
Samia ni Suluhi ya changamoto za Tanzania.
Baada ya huu uchaguzi wa Kenya inabidi tuwapelekee Kinana, Nape, January, Chongolo na hamidu shaka jijini Nairobi kwa ajili ya short course ya JINSI YA KUFUNGA MAGOLI KWA MIGUU BADALA YA MIKONO.Mkuu kwa Huzuni kubwa huku kwetu wale walafi wa madaraka wanachokiona Kenya wanaona kama ushamba badala ya ustaarabu uliotukuka .Tanzania nchi yangu ya Watu tuliolala huku tukidhulumiwa mamlaka yetu!!
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna watu wenye njaa zao tuu..Tatizo kwa Tanzania ni kwamba wapinzani tuinawataka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi! Huwewzi kumwachia nchi asaiyeaminika! Mara 100 umnyang'anye nchi iwe salama kuliko umwachie nchi iparaganyike! Huo ni ukweli mchungu hata mimi unaniuma lakini afadhali uniume kuliko kutumbukia kwenye sintofahamu!
Hatutakuwa kama wao, kupata Uhuru waliuana, pia Katiba mpya waliipata Kwa matone ya DAMU.Sawa mtakuwa kama Kenya.
Ccm au ?Tanzania ina wamiliki wake Mkuu.
Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!Tanzania hakuna wapinzani bali kuna watu wenye njaa zao tuu..
Ndio maana mfumo mzuri wa Katiba ya Tanzania unatakiwa uwe shirikishi yaani uwe na Serikali ya Mseto kwa kutegemea kura za Kila upande.
Tz bado sana,bado tupo kwenye Zama za Mawe za kale
Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!
Siku yake ilipofika yule mchukuaji wa roho aliingia kiulaini akiwaacha askari wakiendelea kumlinda
Habari za Kirinyaga hazitakufurahisha. Returning officer mpaka Sasa hajatangaza matokeo. Polisi wameingilia kati. Na mbunge mteule kampiga risasi bodyguard wa mpinzani wake huko Kakamega. Ngoja niendelee kuchutumaKuelewa nini ndugu yangu, hebu funguka...huko kwa jirani kunaendelea ninI
Rais Samia ndani ya moyo wake amebeba nia (dhamira) njema kutafuta suluhisho la mkwamo wa demokrasia hapa nchini kwetu.Angekuwa hawezi usingekuta kila kitu kinaenda..
Kama hawezi mdomoni kwako na mtaani mambo yanaenda kuna shida gani hapo?
Umenikumbusha: mbwembwe za yule mwehu wa Chato zilikuwa siyo za nchi hii.Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..
Cheap mind huwa mnakimbilia hapo,subirini 2025 Samia awaonyeshe maana ya kuwa kiongozi bila udikteta Wala mbwbwe zile za flyover.
Kenya tunashuhudia demokrasia na uwazi, Kwasababu, viongozi wa juu wa Kenya wana mafaili yao huko "the Hague"( Mahakama ya kimataifa ya uhalifu) na waliponea tundu la sindano kula mvua za kutosha.Aisee wa nikupea utanipea wako mbali sana ,nimefuatilia uchaguz wao mpaka mate yamenitoka ,anyway wanaweza wakawa na mapungufu ila wakuu hii mijamaa iko vizuri ,wako smart, siyo huku kwetu ,uchaguzi haujulikani unafanywaje full ujambarika,mgombea urais upande wa upinzani amejaa matundu ya risas dah e mola tutafika link huko,
Malizia na wizi wa kuraAisee wa nikupea utanipea wako mbali sana ,nimefuatilia uchaguz wao mpaka mate yamenitoka ,anyway wanaweza wakawa na mapungufu ila wakuu hii mijamaa iko vizuri ,wako smart, siyo huku kwetu ,uchaguzi haujulikani unafanywaje full ujambarika,mgombea urais upande wa upinzani amejaa matundu ya risas dah e mola tutafika link huko,
Hamia Kenya.
Mnataka mbaki wajinga peke yenu?
Mnataka mbaki wajinga peke yenu?
Hamia burundi