Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Tulipata uhuru Kwa njia ya Amani.

Tunaandika KATIBA mpya Kwa njia ya AMANI.

Na baada ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA tutafanya uchaguzi HURU na HAKI,

Ameeeen
Sawa mtakuwa kama Kenya.
 
Come 2025,tutakuwa tumewapita mbali Sana kwenye masuala ya welfare..

Samia ni Suluhi ya changamoto za Tanzania.
Tatizo kwa Tanzania ni kwamba wapinzani tunawataka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi! Huwewzi kumwachia nchi asaiyeaminika! Mara 100 umnyang'anye nchi iwe salama kuliko umwachie nchi iparaganyike! Huo ni ukweli mchungu hata mimi unaniuma lakini afadhali uniume kuliko kutumbukia kwenye sintofahamu!
 
Mkuu kwa Huzuni kubwa huku kwetu wale walafi wa madaraka wanachokiona Kenya wanaona kama ushamba badala ya ustaarabu uliotukuka .Tanzania nchi yangu ya Watu tuliolala huku tukidhulumiwa mamlaka yetu!!
Baada ya huu uchaguzi wa Kenya inabidi tuwapelekee Kinana, Nape, January, Chongolo na hamidu shaka jijini Nairobi kwa ajili ya short course ya JINSI YA KUFUNGA MAGOLI KWA MIGUU BADALA YA MIKONO.
 
Tatizo kwa Tanzania ni kwamba wapinzani tuinawataka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi! Huwewzi kumwachia nchi asaiyeaminika! Mara 100 umnyang'anye nchi iwe salama kuliko umwachie nchi iparaganyike! Huo ni ukweli mchungu hata mimi unaniuma lakini afadhali uniume kuliko kutumbukia kwenye sintofahamu!
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna watu wenye njaa zao tuu..

Ndio maana mfumo mzuri wa Katiba ya Tanzania unatakiwa uwe shirikishi yaani uwe na Serikali ya Mseto kwa kutegemea kura za Kila upande.
 
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna watu wenye njaa zao tuu..

Ndio maana mfumo mzuri wa Katiba ya Tanzania unatakiwa uwe shirikishi yaani uwe na Serikali ya Mseto kwa kutegemea kura za Kila upande.
Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!
 
Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!
Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..

Cheap mind huwa mnakimbilia hapo,subirini 2025 Samia awaonyeshe maana ya kuwa kiongozi bila udikteta Wala mbwbwe zile za flyover.
 
Kuelewa nini ndugu yangu, hebu funguka...huko kwa jirani kunaendelea ninI
Habari za Kirinyaga hazitakufurahisha. Returning officer mpaka Sasa hajatangaza matokeo. Polisi wameingilia kati. Na mbunge mteule kampiga risasi bodyguard wa mpinzani wake huko Kakamega. Ngoja niendelee kuchutuma
 
Angekuwa hawezi usingekuta kila kitu kinaenda..

Kama hawezi mdomoni kwako na mtaani mambo yanaenda kuna shida gani hapo?
Rais Samia ndani ya moyo wake amebeba nia (dhamira) njema kutafuta suluhisho la mkwamo wa demokrasia hapa nchini kwetu.

Lkn linapokuja suala la kuitekeleza hiyo nia njema (kuwa na katiba bora) atakumbana na vizingiti toka kwa wanaccm wenzake wanaonufaika na uozo wa mifumo (katiba bora) iliyopo.
 
Aisee wa nikupea utanipea wako mbali sana ,nimefuatilia uchaguz wao mpaka mate yamenitoka ,anyway wanaweza wakawa na mapungufu ila wakuu hii mijamaa iko vizuri ,wako smart, siyo huku kwetu ,uchaguzi haujulikani unafanywaje full ujambarika,mgombea urais upande wa upinzani amejaa matundu ya risas dah e mola tutafika link huko,
Kenya tunashuhudia demokrasia na uwazi, Kwasababu, viongozi wa juu wa Kenya wana mafaili yao huko "the Hague"( Mahakama ya kimataifa ya uhalifu) na waliponea tundu la sindano kula mvua za kutosha.

Waliachiwa Kwasababu ushahidi haukujitosheleza, wasingepata janga hilo maisha nadhani yangekuwa kama ya kwetu huku tu( Kwasababu, tuliona kilichotokea 2007).

Kwahiyo, wanaonesha demokrasia hiyo Kwasababu wanajua kuwa wanachunguzwa kwa karibu sana( Unaweza ukafanya jitihada ya kumsaidia mtu kupata cheo fulani lakini janga likitokea ni la kwako peke yako. Kwanini, upate taabu ya kesi za kusababisha machafuko ya kisiasa kwa ajili ya mtu mwingine?).( Heri ya lawama kuliko fedheha).
 
Aisee wa nikupea utanipea wako mbali sana ,nimefuatilia uchaguz wao mpaka mate yamenitoka ,anyway wanaweza wakawa na mapungufu ila wakuu hii mijamaa iko vizuri ,wako smart, siyo huku kwetu ,uchaguzi haujulikani unafanywaje full ujambarika,mgombea urais upande wa upinzani amejaa matundu ya risas dah e mola tutafika link huko,
Malizia na wizi wa kura
 
Back
Top Bottom