Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Wakenya KANU walishaitupa kuzimu siku nyingi tu.

Ila haya hayajaanza leo maana hata Mzee Kenyatta alimwambia Nyerere anatawala makondoo.
 
Mkwere is always distructive
 
Sisi hatuna uchaguzi isipokuwa tunavita pekee
 
Hivi hili dude bado lipo...bado linalipwa kodi zetu. Dah, Watanzania wakati mwingine tuwe tunaona hata aibu! Kama ni kweli kodi zetu bado zinatafunwa na watu kama hawa basi ni halali kabisa kwetu kuendelea kutawaliwa na CCM!

Tunakubalije ujinga kama huu? Tunakubalije pesa zetu kuchezewa hovyo namna hii? Tunakubalije kuendelea kulifumbia macho genge ambalo pamoja na kutokuwa na sifa wala uwezo linang'ang'ania uongozi ndani ya taifa letu?

Watanzania tuna tatizo, tuna tatizo kubwa sana. Kibaya zaidi ni uhaba wa wenye weledi, sifa na uwezo wa kutambua na kukiri ukweli huo. Wengi ni wanafiki wanachapa tu usingizi wala hawana habari dunia inakoelekea au tuko karne gani.

Hakuna laana kama kutojua kwamba hujui. Katika dunia ya sasa ya sayansi na tekonolojia, vituko kama tunavyoshuhudia katika zoezi la kuhesabu kura ni aibu tupu. Cha kustaabisha na kushangaza unakuta anayesimamia eti ni msomi mbobezi!
 
Uakurupuka bila kunawa uso na kukimbilia kupost ujinga bila ufafanuzi.
 
Lile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
Si mwendazake tu system ya uchaguz tz inacontrilliwa na chama tawala. Mwenda zake aliongeza Kasi tu. Kwan hujjui vvyama vya upinzan vilivyoharibiwa vifaa vyao 2015 baada na wenyewe kujaribu kufanya talls
 
Kwa Tanzania ni kosa kisheria kuhesabu kura za Rais kituoni - Kura ya Rais itahesabiwa na Tume pale Makao makuu....

afu you call it UCHAGUZI aisee tuchutame ni aibu kwa kweli, tupo nyuma miaka 100 mbele ya wakenya.
 
Tanzania hatuwezi kuwa na uchaguzi huru hadi tuwe na tume huru.
Tume ni tawi tu, msingi ni Katiba. Vyombo vya dola viwatumikie Watanzania wote bila kuangalia itikadi. Serikali iwajibike kwa wananchi na si chama cha siasa. Wawakilishi wa wananchi, Bunge, liisimamie serikali na siyo kuisifia tu muda wote.
 
Si mwendazake tu system ya uchaguz tz inacontrilliwa na chama tawala. Mwenda zake aliongeza Kasi tu. Kwan hujjui vvyama vya upinzan vilivyoharibiwa vifaa vyao 2015 baada na wenyewe kujaribu kufanya talls
Kabisa Mwendazake alikoleza chumvi tu lakini siye aliyeanzisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…