Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Amempa risitiKwani RC kipenzi anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amempa risitiKwani RC kipenzi anasemaje?
Kimkute kitu gani. Hii nchi hakuna mwenye uhalali wa kumkutisha mwenzie kitu bila utaratibu, unless unakubali hao unaowatetea ni wa ovyo.Heshma ni lazima sio hiari, huku kukaa nyuma ya keyboard kusikufanye ujione mwamba
Kama unabisha endelea na matusi kikukute kitu
Kosoa, toa maoni, toa ushauri na mapendekezo utasikilizwa sio matusi.
💯Kwa umri wake hata asingekua na cheo chochote,anastahili kuheshimiwa Kama mama mwingine yeyote,sio busara kumtolea Maneno machafu mtu mzima kukuzidi,na hata ambae mnalingana,sio busara pia kumtolea matusi ya nguoni,hapo tupo pamoja,
Kuhusu Kumuombea Hapana,sijawahi kuelewa anavyoongoza na hatua anazochukua kukabiliana na changamoto zinazotukabili,ombi langu asipate nafasi nyingine ya kuongoza maana tutakua pabaya zaidi ya hapa,..
UZALENDO,why mnapenda sana kutumia Neno UZALENDO kila mnapo taka ku please wananchi?? Je sisi tu ndio tuwe wazalendo Ila watawala wao wale mema ya nchi kwa wizi,ufisadi,dhulma,??Kama Kuna watu inatakiwa watuoneshe UZALENDO ni Nini,wa kwanza awe Rais,wabunge,mawaziri,...
to hell with UZALENDO,I'll deny this country kwa sahani ya chips yai