Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

Matendo yake ndio yanampa/yanamnyima heshima
Aachen, kama tuhuma ni za kweli
 
Heshma ni lazima sio hiari, huku kukaa nyuma ya keyboard kusikufanye ujione mwamba
Kama unabisha endelea na matusi kikukute kitu

Kosoa, toa maoni, toa ushauri na mapendekezo utasikilizwa sio matusi.
Kimkute kitu gani. Hii nchi hakuna mwenye uhalali wa kumkutisha mwenzie kitu bila utaratibu, unless unakubali hao unaowatetea ni wa ovyo.
 
💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…