Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?

Msamehe bure kwani Sky Eclat huenda anauchungu kwa kupunguzwa kazini akiitwa "Mtumishi hewa" au alipunguzwa UDOM kama mmoja wa waliosemwa ni "Vilaza"
 
Kama ni mfuatiliaji angalia kama unaona post yeyote toka kwa kina Victorie et al (ambao walikuwa very vocal and adamant kuthibitisha otherwise mwanzoni habari hizi zilipoanza).
Wamelala hawa, kuna namna nzuri ya kuthibitisha vitu kama hivi. Tusubiri tutapata taarifa, hili sio dogo .
Hata nyie mtalia ikuwa kweli.
 
Viongozi wa CHADEMA kutwa mahakamani utafikili wana attendance pale kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu mnafikili wanapendezwa na uminywaji wa haki zao kama wapinzani
Nchi hii kamwe haitafuga maharamia Acha washinde mahakamani
 
Tunakoelekea ni pazuri mno. Rais wetu anasimamia vyema mapato yatokanayo na rasilimali zetu. Waliozoea kujinufaisha nazo hawana furaha kabisa .
Abasimamia vizuri ili ajenge uwanja wa ndege wa kimataifa Chato?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…