toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Hii imenifanya nicheke peke yangu kama mchizi vile[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnazidi kuongeza taharuki hapa nchini....
Whatever the case ila Mungu amlinde,ampe afya njema ya roho na mwili!
Awafedheheshe wanaomuombea mabaya
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Wamelala hawa, kuna namna nzuri ya kuthibitisha vitu kama hivi. Tusubiri tutapata taarifa, hili sio dogo .Kama ni mfuatiliaji angalia kama unaona post yeyote toka kwa kina Victorie et al (ambao walikuwa very vocal and adamant kuthibitisha otherwise mwanzoni habari hizi zilipoanza).
Yaani nimeshangaa na comments za humu.kama rais yupo ICU tumuombee apone haraka
Nchi hii kamwe haitafuga maharamia Acha washinde mahakamaniViongozi wa CHADEMA kutwa mahakamani utafikili wana attendance pale kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu mnafikili wanapendezwa na uminywaji wa haki zao kama wapinzani
Una maana kapata cardiac arrest?Tumuombee mungu maana Heart Attack sio tatizo dogo
Dah, Leo wanajifanya kulaani wale wanaofurahia mabaya ya upande Wa pili, rais angekuwa muungwana alipaswa amkamate huyu Dogo athibitishe huu uharo wake.pia makonda kachafuka hapo alipaswa kuchukua hatua.Utu unauzungumzia.View attachment 1238809
Basi tu ni vile Yesu alisema wapendeni adui zenu!.Tumuombee mungu maana Heart Attack sio tatizo dogo
Wamelala hawa, kuna namna nzuri ya kuthibitisha vitu kama hivi. Tusubiri tutapata taarifa, hili sio dogo .
Hata nyie mtalia ikuwa kweli.
Wamelala wakiamka utawaona tu.Usingizi utoke wapi kwenye mazingira haya?
Pressure ya nini Mkuu.nduguyo anaumwa au...Ila siku hizi 2 mmejua kutuwekea pressure
Abasimamia vizuri ili ajenge uwanja wa ndege wa kimataifa Chato?Tunakoelekea ni pazuri mno. Rais wetu anasimamia vyema mapato yatokanayo na rasilimali zetu. Waliozoea kujinufaisha nazo hawana furaha kabisa .
Haahaa kwamba aseme hakupiga lager.watanzania kwa unafiki
Daniel 2:22Daniel 2:22
Je kama kafanya maigizo si itakula kwako?Mimi jana nilipiga lager baada ya miezi sita