Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

Barua ya uteuzi imeshindwa kufanya kazi kwani ilitakiwa pia iendane na kanusho la uvumi uliopo kutoka Idara hiyohiyo kitu ambacho hakikufanyika, lakini turudi nyuma hebu angalia kwa Nyerere kuna lugha ilitumika "Hali ya baba wa taifa ni mbaya" hii ilifanya watu wasiwe ndege wala wanyama tofauti na hawa wenzetu ambao nafikiri hawajaamua kuvaa nguo au kutupa nguo
 
Ameen,neema ya Mungu na iwe juu yake,tunaachilia damu ya Yesu kristo iwe ulinzi wake.
 
Hiyo ni vita yenu wana Lumumba mtajuana wenyewe
 
Naweza nisikubaliane na mambo yanavyoenda lakini siwezi kuunga mkono uchuro Wa kuombeana maovu kwa binadamu mewenzangu. Na kwa maombi yauovu tujue Mungu hapangiwi. Mungu anaweza kuwageuzia kibao wanaoomba yeyote apate yaysiypstahii.
Sisi tunaendelea kupiga goti tu mpaka ziraili achukue roho yake. Tanzania ni nchi nzuri sana na watu wake wazuri, hawastahili kuongozwa na huyu shetani Mnyarwanda.
 
Kwa nini uamini uvumi na uzushi? Msigwa yupo kwenye nafasi yake kutoa taarifa za maana na sio kukanusha habari za kizushi na kiswahil
 

Ni hivi serikali hii imemuonyesha Lissu chuki ya wazi wazi, msitake kujifanya mnatisha watu hapa kwa double standard. Mngekuwa na support ya umma mnayotambia tungeona watu wakijiandikisha kwa wingi kwenye uchaguzi kwa hiari. Aeneze chuki kisha utoke mrejesho mkimbie majibu? Akitoka huko alipo atakuja kupitia maoni atajifunza anakwama wapi. Ile dunia ya watu kuficha hisia zao huku wanaumizwa zilishapita, sasa hivi ukimfamyia mtu ndivyo sivyo anakupa ukweli wako, na hata ukifa atasherehekea waziwazi iwe somo kwa madhalimu wengine wote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…