Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mamaaa we love you
IMG_20191019_155934.jpeg
 
Pamoja ya kwamba Mh Rais amefanya mambo mengi ambayo si ya kibinadam(hasa kuwatesa watu pasipo na sababu),lakini pia amefanya machache mazuri na yatakumbukwa..siombei kimkute kifo wala ugonjwa mimi nahitaji atoke kwa amani ili baadae warithi wake wamchukulie hatua huku akiwa ana shuhudia.

Popote ulipo Mh Rais nakuombea afya njema na uzima ili nawe kikombe ulichowatengenezea wenzako kikirudie ukiwa hai.
Hayo machache mazuri ilikuwa ni wajibu wake na tulishamshukru kwa kumlipa mshahara,hayo mabaya uliyosema hayakuwa kwenye JD yake na tungekuwa raia tunaotambua wajibu wetu kwa nchi yetu tulipaswa tuwe tumemngoa
 
Ndo mjitafakari km mnapendwa au mnalazimishwa kupendwa!!!???

Watendeeni watanzania wema na sio kuwajutisha kwa makusudi kisha kujisikia raha kwa vile wavyoumia.Lione na Para lake, Bayaaaaaaaaaaaaaaa.
Miaka mia hakuna mbadala!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom