Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni full burudani komba band waanze tu kutunga nyimbo tunavutavuta muda tu.Ngapi ngapi mkuu,nani kafunga magoli.Taifa stars wameamua tena.
Taarifa zako huwa naziaminia mkuuAah Big Sir amechomoa battery jana
Sema akya mungu!!Aah Big Sir amechomoa battery jana
Walitolewa kanda ya ziwa... Wakaja White House.... Wakatoa tamko atakae chukua fomu watamshughulikia.. Yote yalimlenga jasusi
Cheo ni dhamana
Sasa kapewa kamtihani kadogo... Awatumie hao hao kujiokoa...
Nawaza mungu wa dar atakuwa ktk hali gani??
Mkuu linda buku 7 yako
unajichekesha kama sio mwanaumeHahahaha Bawacha ni muda tuu mtaumbuka
Ni muda tuu mtaumbuka endeleeni kujifariji....
Tena ni tabia za kishetani kuwaombea wenzetu mabaya.
Punguza mapepe basi kwa heshima ya jukwaa letu pendwa!marehemu unampa heshima sana,huyu mfu alikuwa anatuendesha utafikiri sisi wake zake, akayateke mashetani huko
Mchawi namba moja anayewanga mchana ni yule aliyemshambulia kwa nia ya kumuua Tundu LissuKwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Tena kisosi kutoka Rwandavipi polisi wameshindwa kumlinda?? maana alikuwa anatembea na msafara mkubwa na wanajeshi wenye silaha za moto nje nje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda wamemsukumizia kwenye cheo kikubwa zaidi,Kiongozi wa Malaika
Mkuu pump your brakes!!huyo mbweha ameshakufa
Hakuna breaking news yeyote nyie mashetani, hilo bando lako halina kazi? angalia hata porn basi
Bibi lea vitukuu acha udaku!Ni Roma tu bado tunasoma Misale ya waumini, makanisa ya Pentecost mnasoma Bible kwenye I-Pad unaweza kuchungulia JF