Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

"mungu wa Dar" alituma post moja kule twitter yenye kuthibitisha kitu kwa 75%
 
marehemu unampa heshima sana,huyu mfu alikuwa anatuendesha utafikiri sisi wake zake, akayateke mashetani huko
Punguza mapepe basi kwa heshima ya jukwaa letu pendwa!

Usifanye wote humu tuonekane tuna tabia moja
 
Mchawi namba moja anayewanga mchana ni yule aliyemshambulia kwa nia ya kumuua Tundu Lissu
 
Huyu jamaa namkubali kwenye ujenzi. Ila simkubali kwenye kuonea watu asiowapenda.

Bora arudi aondoke 2020 kwa kupumzika kuliko kufa.
Nchi yetu itaharibika ndani ya muda mchache sana maana watu watalipizana visasi na kugombea nafasi zao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…