mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
And we are happy to be the last stupid and not the first onesKuna baadhi ya watanzania ni wapumbavu wa mwisho
Ikulu ipi mkuuHajawai kusema atakuwa kanisa fulani. Ila kama unamuhitaji sana nenda ikulu.
Kama ushupavu ni kupiga risasi watanzania hadharani kupoteza watu kutishia kuwapiga Mashangazi wa huko kusini kunyang'anya watu viti vyao vya ubunge basi bora legelege anaefuata katiba na sheria.Mzee ni mzima kabisa ila kinachompa ugonjwa wa moyo ni hizi comments zenu. Ivi mnamtaka rais wa namna gani? Legelege?
Ubaya ubaya
Hivi Mzee Alivyopata Mshtuko Wa Moyo Kabla Hajakimbizwa Ujerumani Alipitia Kwanza Muhimbili Ili Apate Kibali Cha Kutibiwa Nje Ya Nchi Kwa Fedha Za Umma? Au Huo 'Utaratibu' Wa Kibali Cha Muhimbili Ulikua Kwa Tundu Lissu Tu? Wengine Hauwahusu?
Walichomfanyia tundu lissu mpaka kumpora ubunge aisee ulikua ni ukatili mkubwa sana
Lakini sikuona kiongozi yeyote wa ccm anamtetea hadharani
Mi kama Mzalendo, sio Mzalendo Mambo Leo naendelea kuiombea nchi na Rais.
Hayati Baba wa Taifa Mzee Nyerere alisema kweli alikokuwa amelazwa na tukawa tunamwombea kwa amani tu sasa kama Rais Magufuli anaumwa huko aliko si mseme tu anaumwa nini na ameanza lini kuumwa maana ni mwanafamilia mwenzetu wa Tanzania na sio vinginevyo.
Mbwembwe tu hizo kutoka midomoni mwa wanasiasaHizo habari za kuumwa sio za kweli kwa sababu hata kama mzee wetu yuko kitandani haina maana kuwa amezidiwa na maradhi tukumbuke alishawahi kutueleza kuwa anafanya kazi sana kiasi cha kufikia hatua ya kulala na mafile chumbani kwake
Godbless Lema alisemaga ameota lakini kakaHaaaaaaaaaa huyu jamaa usimuamini labda awe ----Leo atawaita mabeberu kesho atawaita wadau wamaendeleo
Mkuu hatujambo, tunamshukuru Muumba wetu. Ni hayo tu yanayojadiliwa na kutuacha wengine njia panda!!kwani vipi watanzania wenzangu?
Usijali,ndugu yangu.nisamehe
Viongozi wetu wanatuona mazombie sn ndo maana wanatutukana kwenye majukwaa Mchana kweupee na hatuwafanyi kitu...Mimi kama binadamu siwezi muombea mwenzangu afe au aumwe tu siwezi kamwe ila nikiona mwenzangu/jirani yangu haonekani na sijui aliko lazima nitaulizia kujua anaendeleaje maana uzima au ugonjwa wake ni wa kwetu sote hakuna anaeijua kesho yake na hayo yote sio SIRI
Si Anasemaga Mabeberu Hawapendi Maendeleo Anayoyaleta Ndio Maana Wanawatumia Watu (Vibaraka Wa Mabeberu) Kukwamisha Juhudi Zake? Sasa Mbona Kaenda Kutibiwa Hukohuko Kwa Mabeberu? Kama Kweli Mabeberu Wanakwamisha Juhudi Zake Haogopi Kwamba Wanaweza Pia Kukwamisha Na Uhai Wake?