Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mzee ni mzima kabisa ila kinachompa ugonjwa wa moyo ni hizi comments zenu. Ivi mnamtaka rais wa namna gani? Legelege?
Kama ushupavu ni kupiga risasi watanzania hadharani kupoteza watu kutishia kuwapiga Mashangazi wa huko kusini kunyang'anya watu viti vyao vya ubunge basi bora legelege anaefuata katiba na sheria.
 
Hizo habari za kuumwa sio za kweli kwa sababu hata kama mzee wetu yuko kitandani haina maana kuwa amezidiwa na maradhi tukumbuke alishawahi kutueleza kuwa anafanya kazi sana kiasi cha kufikia hatua ya kulala na mafile chumbani kwake
 
Mimi kama binadamu siwezi muombea mwenzangu afe au aumwe tu siwezi kamwe ila nikiona mwenzangu/jirani yangu haonekani na sijui aliko lazima nitaulizia kujua anaendeleaje maana uzima au ugonjwa wake ni wa kwetu sote hakuna anaeijua kesho yake na hayo yote sio SIRI

Si Anasemaga Mabeberu Hawapendi Maendeleo Anayoyaleta Ndio Maana Wanawatumia Watu (Vibaraka Wa Mabeberu) Kukwamisha Juhudi Zake? Sasa Mbona Kaenda Kutibiwa Hukohuko Kwa Mabeberu? Kama Kweli Mabeberu Wanakwamisha Juhudi Zake Haogopi Kwamba Wanaweza Pia Kukwamisha Na Uhai Wake?
 
Titizo mshikaji alishajifananisha na malaika mkuu.., ; mteule aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania, nk.., hivyo anahisi kusema anaumwa ni kijidhalilisha.

Hivi Mzee Alivyopata Mshtuko Wa Moyo Kabla Hajakimbizwa Ujerumani Alipitia Kwanza Muhimbili Ili Apate Kibali Cha Kutibiwa Nje Ya Nchi Kwa Fedha Za Umma? Au Huo 'Utaratibu' Wa Kibali Cha Muhimbili Ulikua Kwa Tundu Lissu Tu? Wengine Hauwahusu?

Walichomfanyia tundu lissu mpaka kumpora ubunge aisee ulikua ni ukatili mkubwa sana

Lakini sikuona kiongozi yeyote wa ccm anamtetea hadharani

Mi kama Mzalendo, sio Mzalendo Mambo Leo naendelea kuiombea nchi na Rais.

Hayati Baba wa Taifa Mzee Nyerere alisema kweli alikokuwa amelazwa na tukawa tunamwombea kwa amani tu sasa kama Rais Magufuli anaumwa huko aliko si mseme tu anaumwa nini na ameanza lini kuumwa maana ni mwanafamilia mwenzetu wa Tanzania na sio vinginevyo.
 
Hizo habari za kuumwa sio za kweli kwa sababu hata kama mzee wetu yuko kitandani haina maana kuwa amezidiwa na maradhi tukumbuke alishawahi kutueleza kuwa anafanya kazi sana kiasi cha kufikia hatua ya kulala na mafile chumbani kwake
Mbwembwe tu hizo kutoka midomoni mwa wanasiasa
 
Mimi kama binadamu siwezi muombea mwenzangu afe au aumwe tu siwezi kamwe ila nikiona mwenzangu/jirani yangu haonekani na sijui aliko lazima nitaulizia kujua anaendeleaje maana uzima au ugonjwa wake ni wa kwetu sote hakuna anaeijua kesho yake na hayo yote sio SIRI

Si Anasemaga Mabeberu Hawapendi Maendeleo Anayoyaleta Ndio Maana Wanawatumia Watu (Vibaraka Wa Mabeberu) Kukwamisha Juhudi Zake? Sasa Mbona Kaenda Kutibiwa Hukohuko Kwa Mabeberu? Kama Kweli Mabeberu Wanakwamisha Juhudi Zake Haogopi Kwamba Wanaweza Pia Kukwamisha Na Uhai Wake?
Viongozi wetu wanatuona mazombie sn ndo maana wanatutukana kwenye majukwaa Mchana kweupee na hatuwafanyi kitu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom