Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
..Kauli ya msemaji wa serikali ingakata mzizi wa fitina/majunguuu..
 
Ni hivi, unavyoishi na watu ndivyo utakavyopata mrejesho pindi ukipata tatizo. Haya yanayoendelea ni mrejesho wa hali halisi. Ukiweza weka jinsi Lissu alivyofanyiwa ubinadamu na serikali hii.
Ukiwa kiongozi wa Upinzani ambaye unataka support ya watu, public inatakiwa ikuone wewe una busara kuliko hao unawowapinga.
Ndio Serikali ilichokifanya kwa Lissu hakikuwa sawa hata kidogo, lakini public ilikuwa upande wa Tundu Lissu.
Sasa ukishangilia mambo kama haya unalipiza kisasi, lakini mbele ya public unaonekanaje?
Ndio unawapa credibility madai ya CCM kuwa nyie mnataka kumuua rais kwa kushirikiana na mabeberu, watu wataamini hayo
Mbona unashindwa kuona ishu kama hii?
 
hakika anahitaji maombi
 

Naona umeishia kusema ni uzushi tu bila wewe kuthibitisha huo uzushi!
...kama yupo swafi nadhani huu uzushi ameupata, basi ajitokeze ili aondoe hizo sintofahamu tena atoe na onyo kali kisha aamuru hao walizushia wakamatwe!
Au la sivyo tuambie yu wapi, kwa nini alikatisha ziara ghafla bila taarifa rasmi kutolewa??
 
Wanapaswa waanze kukukamata wewe kwani uzi wako ni mwendelezo wa hizi taarifa ambazo sio rasmi.
 
Wewe ndo mtu WA Kwanzaa unaetakiwa ukamatwe usaidie polisi.
Ili uwaoneshe hao wanaosambaza hizo habari
Ansbert Ngurumo,Evarist Chahali,Zitto Kabwe,anayejiita Kigogo2014,Anayejiita Mcomoro no unataka Nani mwingine
 

Ana mualiko wa German!!! Itaendelea kwenye part 2... Haya bwana watu na kazi zenu nyinyi!!
 
Uko sahihi sana,hapo bado kuna mabeberu na vibaraka wao...
 
Ukweli ungesemwa mameno fake yasingekuwa na nguvu sasa ukimya unaleta maneno yasio rasmi.
Habari feki inapingwa, kwa credible source kutoa taarifa ya kweli.

Habari ya ukweli ingewekwa wazi, hizi tetesi kama ni za uongo zingejifia kimyakimya.
 
Hao waliozusha watuambie yuko wapi maana ndiyo wanajifanya kuzijua sana taarifa za Mh Rais.

Huwezi kuzusha tu taarifa halafu ukaachwa tu haiwezekani.
 
Uhuru was habari in moyo was demokrasia na maendleleo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…