Ukimya gani unataka wewe....jana tangazo la Ikulu hukuliona au umetoa wewe lile tangazoUkweli ungesemwa mameno fake yasingekuwa na nguvu sasa ukimya unaleta maneno yasio rasmi.
Kama yeye tu alivyotaka T.L afe na ikashindikana.Na ukimwombea mtu kifo hafi. Ni kanuni iliyofichika. Patrick Balisidya aliimba wimbo "wema hawana maisha".
Sio Kila uzushi ni wa kujibu....wahusika wasakwe popote pale hata kama chini ya uvungu wa vitanda vyao wakamatwe na kushikishwa adabu ndiyo dawa yao....hatuwezi kuwa taifa la kuzusha zusha tu habari.
Mkuu All is going to be well' Pole sana kwa yanayoendelea. Yatapita.Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
*Wapiga madili
*Wapinzani
*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4
*Waliotumbuliwa
*Vyeti feki
*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka
Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?
Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
Gerson Msigwa na Dr. Abbas mbona mpo kimya?
Nikupe gari, mshahara halafu umtangaze mpinzani mshindi! (habagui vyama, dini, kabila)Hii imedhihirisha kuwa Raisi John Joseph Pombe Magufuli ni kipenzi cha watanzania yeye anawapenda na wao wanampenda baada ya Raisi wa watanzania kujichimbia ikulu kama kawaida yake,
Watanzania wameanza kuwa na hamu naye wanahisi kukosa kusikia sauti ni kama kupoteza ala nzuri masikioni mwao,
Ni hakika 2020 Magufuli atachukua nchi kweupe saa asubuhi kwa mahaba wanayoyaonyesha!
Magufuli habagui watu kwa vyama wala dini wote anawapa maendeleo!