Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ukweli ungesemwa mameno fake yasingekuwa na nguvu sasa ukimya unaleta maneno yasio rasmi.
Ukimya gani unataka wewe....jana tangazo la Ikulu hukuliona au umetoa wewe lile tangazo
 
Naomba kuhoji,Yale wasemayo kina kigogo,mcomoro na wenzake yan ukweli wowote?? Kama hayana ukweli kwann wasikane au kutoa ufafanuz wowote
 
Hii imedhihirisha kuwa Rais John Joseph Pombe Magufuli ni kipenzi cha watanzania yeye anawapenda na wao wanampenda baada ya Rais wa watanzania kujichimbia ikulu kama kawaida yake

Watanzania wameanza kuwa na hamu naye wanahisi kukosa kusikia sauti ni kama kupoteza ala nzuri masikioni mwao,
Ni hakika 2020 Magufuli atachukua nchi kweupe saa asubuhi kwa mahaba wanayoyaonyesha!

Magufuli habagui watu kwa vyama wala dini wote anawapa maendeleo!
 
Hiyo gharama ya kuwasaka si bora ingeletwa tarifa idiyo uzushi ili inyutrolaizi. Mbona uzushi wa komputa za DPP ulimalizwa na ukweli wa Mahiga.
Sio Kila uzushi ni wa kujibu....wahusika wasakwe popote pale hata kama chini ya uvungu wa vitanda vyao wakamatwe na kushikishwa adabu ndiyo dawa yao....hatuwezi kuwa taifa la kuzusha zusha tu habari.
 
*Wapiga madili

*Wapinzani

*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4

*Waliotumbuliwa

*Vyeti feki

*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka

Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?

Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.

Kwahiyo kusibiri ajira miaka 4 ni kosa?
 
Hii imedhihirisha kuwa Raisi John Joseph Pombe Magufuli ni kipenzi cha watanzania yeye anawapenda na wao wanampenda baada ya Raisi wa watanzania kujichimbia ikulu kama kawaida yake,
Watanzania wameanza kuwa na hamu naye wanahisi kukosa kusikia sauti ni kama kupoteza ala nzuri masikioni mwao,
Ni hakika 2020 Magufuli atachukua nchi kweupe saa asubuhi kwa mahaba wanayoyaonyesha!

Magufuli habagui watu kwa vyama wala dini wote anawapa maendeleo!
Nikupe gari, mshahara halafu umtangaze mpinzani mshindi! (habagui vyama, dini, kabila)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom