Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

Hakika wewe sio majnoon kama sisi rusivyo maamuma...
 
Ulichoandika mwalimu wako akisoma anaweza kujiua.
 
Simu ya malaika ilikuwa inamuita😂😂😂 ndio ameitwa tayari
 
Ila haya mambo haya! Mwanzo hizi habari zilianza kama utani na team praise wakasimama wakabisha wakaita watu wazushi, sasa mnakubali kuna tatizo ila mnasema atalishinda! Haya tuombe heri tu waungwana
 
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji378]
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
 
Tanzania Ipo Salama Kwasasa Na Kuendelea
Hawa Wengine Wanaozusha Waende Mlima Wa Moto
 
Mficha maradhi kifo humwumbua.
Kwanini wanaficha kama ni kweli anaumwa? Mi nadhani tusubiri kama ni kweli itajulikana tu hakuna siri lakini pia si vizuri kumuombea kifo binadamu mwenzio.japo simpendi kwa baadhi ya matendo yake.
 
Nadhani ni mwendo wa sisi raia kutayarishwa kisakolojia.
Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hakuna lililotokea na kwamba Raisi wetu yupo ofisini kama kawaida yake anatengua na kuchagua!
Sasa wameanza kutuaminisha kwamba ni kweli ameumwa na labda yuko kwenye hatua za kupatiwa huduma ya matibabu na labda ni kweli nje ya nchi!
Hatua itakayoufuata ni kujulishwa kwamba Mheshimiwa wetu ame... na hivyo mambo mengine yatafuatia baadae.
Kwa kumalizia tuwaombe tu waungwana kwamba sisi watanzania sasa tumekuwa wakubwa, sisi ni watu wazima sasa na si wajinga kihivyo mnavyotufikiria! haina haja ya kutupeleka hatua moja moja, I mean for God sake we can handle this!
 
Rudia kusoma ulichoandika mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…