Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
good newsNimepita maeneo ya hapa ferry naona vijana wa Lumumba wanafunga maturubai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good newsNimepita maeneo ya hapa ferry naona vijana wa Lumumba wanafunga maturubai
Pole sana. Kwa sasa Tusubiri serikali itoe taarifa inayoeleweka na inayojitosheleza.Ahsante mkuu,imeniathiri sana hii taarifa,namchukulia Mh .rais kama baba yangu mzazi and I realy love him so much.
😂😂🏃🏃💣And we are happy to be the last stupid and not the first ones
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.AmenUnajua kwanini?
Sasa naanza kuamini Karma yule aliye tumwa kumtendea TL tunaambiwa kilema kitandani sasa karma inaelekea wapiKama yeye tu alivyotaka T.L afe na ikashindikana.
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Simu ya malaika ilikuwa inamuita😂😂😂 ndio ameitwa tayariAcheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Huyo mwanaume wa Dar.Uzi mzima umejaa maneno "natamani kulia". Sijaelewa umeandika nini mkuu.
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji378]
Kwani umeambiwa kuwa kiongozi anaumwa?
Kwanini wanaficha kama ni kweli anaumwa? Mi nadhani tusubiri kama ni kweli itajulikana tu hakuna siri lakini pia si vizuri kumuombea kifo binadamu mwenzio.japo simpendi kwa baadhi ya matendo yake.
KanisaniRais Magufuli kasali wapi leo?
Nadhani ni mwendo wa sisi raia kutayarishwa kisakolojia.Najiuliza, hivi kulikua na umuhimu wa kuandika hii story!? Spinning and speculation gani imekusudiwa!? Je mmejaribu kupima maida dhidi ya madhara!? Nimetumia neno Mumejaribu (Kwa sababu haupo peko yako, ni maamuzi ya group ambayo wewe umepewa jukumu la kuposti)
Rudia kusoma ulichoandika mkuuAcheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.