Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama angekuwa mzima, huo mwaliko asingeenda.Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Ushauri Mzuri sana, maana naona kadri anavyoanzisha nyuzi anazidi kupanua loop hole ya kuongeza sintofahamu... Kwani ni lazima kuanzisha nyuzi... Kukaa kimya wakati mwengine ni busara... Il kama unakuja Public njoo na kitu kinachofikirisha zaidi. Kuwa kwenye system haimanishi tusitumie weledi na basics za InteligensiaMzee baba inatosha sasa, usianzishe SREDI nyingine, tumuombee tu saa inatoha. Heri wapatanishi
Amen.Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Lumumba tena, hapo umedanganya.Ungelisema Jeiwaaa ningelikuelewaNimepita maeneo ya hapa ferry naona vijana wa Lumumba wanafunga maturubai
Asante baba wewe ndio mtumishi wa mungu ubarikiweMaombi bado tunayaelekeza kwanza kwa Lisu hadi apone. Wengine watapangiwa maombi baadaye. Kila mtu avune alichokipanda.
Umeandika au umeandikiwa? Mbona kama umechanganyikiwa sana?Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
UchuroUzi mzima umejaa maneno "natamani kulia". Sijaelewa umeandika nini mkuu.
MAGUFULI4LIFE.*Wapiga madili
*Wapinzani
*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4
*Waliotumbuliwa
*Vyeti feki
*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka
Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?
Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
Mkuu tulia hata kidogo naona umepanic sana, nakushauri uzime data kwani nani kakuambia Rais anaumwa?
Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.Wewe sema tu kuwa hujui chochote, tuendelee kumuongea rais wetu, watanzania tutulie na tuendelee na maisha yetu ya kila siku.
Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.
Umemuona peke yako??St Peter, Dar
Taifa lipo kwenye sintofahamu (Kwa mujibu wa mtoa mada), Mtu wa system anayejinasibu yupo Jikoni anatamani kulia!? Seriously !? Hisia (Emotion) na Mahaba zimetawala zaidi ya Profession.. Ndio, watu ambao kina Evarist Chahali wametuachia kwenye system hao.. Ndio level ya juu kabisa spinning na speculation!?? Aaah!!Unasema unatamani kulia??
Amechanganyika mwacheniUmeandika au umeandikiwa? Mbona kama umechanganyikiwa sana?
Nilifikiri sijamuelewa peke yangu!Uzi mzima umejaa maneno "natamani kulia". Sijaelewa umeandika nini mkuu.
Harudi tena?
Chuma kishafeli kitambo mkuu
Wewe nilishakwambia Kajifunze kwanza Kuandika ndio uje kuongea na watu wazima JFAcheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.