Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwahyo kilimpata nini uko kusin au ndio huo upepo Wa kisulisuli
 
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.

Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.

Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.

Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Hata kama angekuwa mzima, huo mwaliko asingeenda.

Miaka 5 inakata hajawahi kwenda nje ya Bara la Afrika.

Leo nii kiberiti kimetingishwa, eti unasema alikuwa ana dhamira ya kukwea pipa hadi kwa mabeberu...

Ajitahidi kupata somo kulingana na hiyo misukosuko aliyoipata na aimarishe nafsi yake
 
Mzee baba inatosha sasa, usianzishe SREDI nyingine, tumuombee tu saa inatoha. Heri wapatanishi
Ushauri Mzuri sana, maana naona kadri anavyoanzisha nyuzi anazidi kupanua loop hole ya kuongeza sintofahamu... Kwani ni lazima kuanzisha nyuzi... Kukaa kimya wakati mwengine ni busara... Il kama unakuja Public njoo na kitu kinachofikirisha zaidi. Kuwa kwenye system haimanishi tusitumie weledi na basics za Inteligensia
 
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Amen.

Hakuna hata mmoja anaependa kufa,hakuna anaependa kuteseka, vyeo situfanye tukasahau akhera kwa ulevi WA madaraka,

Kila mtu anahaki ya kuishi na mfishaji ni Muumba pekee.

Mamlaka isitufanye tukjiona bora na kudharau waaliochini yetu.

Tusijimambwafy.
 
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.

Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.

Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.

Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Umeandika au umeandikiwa? Mbona kama umechanganyikiwa sana?
 
Wewe sema tu kuwa hujui chochote, tuendelee kumuongea rais wetu, watanzania tutulie na tuendelee na maisha yetu ya kila siku.

Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.

Unasema unatamani kulia??
Taifa lipo kwenye sintofahamu (Kwa mujibu wa mtoa mada), Mtu wa system anayejinasibu yupo Jikoni anatamani kulia!? Seriously !? Hisia (Emotion) na Mahaba zimetawala zaidi ya Profession.. Ndio, watu ambao kina Evarist Chahali wametuachia kwenye system hao.. Ndio level ya juu kabisa spinning na speculation!?? Aaah!!
 
Mkuu,usihofu apona na kuishi miaka mingi sana kwa kuwa watu wenye roho kama ya Meko huishi miaka mingi sana;refers to Ndulli Idd Amin Dadah and Hitler!
 
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.

Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.

Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.

Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Wewe nilishakwambia Kajifunze kwanza Kuandika ndio uje kuongea na watu wazima JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom