ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.
Watu wa cyber what?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.
Kufiwa kunauma SanaNilifikiri sijamuelewa peke yangu!
Heshima yako mkuu, naomba upokee like yangu kwakoSawa mkuu ila unaongeza taharuki
Wewe uko nje ujerumani wanasemajeUnajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji15]
Duhh!Kama yuko fit tbccm wamuweke live apige pushapu tano tu
Mkuu unavyoandika inatoa hata hamu ya kusomaAcheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Kuna whatsapp zinasambaa zinasema kuwa, habari za JPM kuwa amefariki si za kweli bali alipata heart attack na amekimbizwa Dar na helicopter ya jeshi then Afrika Kusini then Germany...
Huo ujumbe unaonesha umetoka kwa Vicky Emmanuel Nchimbi, sifahamu ukweli wake na unaambatana na ujumbe wa kigogo unaosema "wanangoja nini kumpa kimeo mama Samia"?
Sina uwezo wa kuapandisha hapa.
Na mwingine unasema...
There have been reports of men suffering heart attacks or chest pain after taking the popular drug V.
Umeongea nini?Mkuu,katika shughuli zenu vitabu (vinavyopigwa mikindani,pangani,mtwara,Lindi,rufiji,Tanga,Mombasa) na unga wa miti, shughuli ipi inatisha kwa matokeo?
Huyo sii ni yule wa kikosi cha kudhuru watu? Ni kada ya chini mwisho ndani ya kitengo kwani kinafanyishwa kazi isiyo ya utu ya kuangamiza wengine na hawapaswi kuuliza kwa nini kwani wana swagwa kama ming'ombe tuu.Wewe sema tu kuwa hujui chochote, tuendelee kumuongea rais wetu, watanzania tutulie na tuendelee na maisha yetu ya kila siku.
Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.
Jana 19/10/2019Kaenda lini
Na ww leo umekuja na habar za kusikia mkongwe?Kuna whatsapp zinasambaa zinasema kuwa, habari za JPM kuwa amefariki si za kweli bali alipata heart attack na amekimbizwa Dar na helicopter ya jeshi then Afrika Kusini then Germany...
Huo ujumbe unaonesha umetoka kwa Vicky Emmanuel Nchimbi, sifahamu ukweli wake na unaambatana na ujumbe wa kigogo unaosema "wanangoja nini kumpa kimeo mama Samia"?
Sina uwezo wa kuapandisha hapa.
Na mwingine unasema...
There have been reports of men suffering heart attacks or chest pain after taking the popular drug V.
Ilifikia kipindi ukishuhudia kwenye runinga unakuta mtu analindwa kwa masilaha, mabrifikesi, miwani, earphones, nguo nyeusi, helkopita, mbwa n.k..Kwani kuna watu walitaka kumdhuru au ni ugonjwa tu wa kawaida?
Uzi mzima umejaa maneno "natamani kulia". Sijaelewa umeandika nini mkuu.