Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mkuu unavyoandika inatoa hata hamu ya kusoma
 
Inshallah, Mwenyezi Mungu akujalie matamanio ya moyo wako, Ulie kweli kweli!
 
Faiza wewe si mwandani wa Jiwe, you must have information on him
 
Wewe sema tu kuwa hujui chochote, tuendelee kumuongea rais wetu, watanzania tutulie na tuendelee na maisha yetu ya kila siku.

Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.
Huyo sii ni yule wa kikosi cha kudhuru watu? Ni kada ya chini mwisho ndani ya kitengo kwani kinafanyishwa kazi isiyo ya utu ya kuangamiza wengine na hawapaswi kuuliza kwa nini kwani wana swagwa kama ming'ombe tuu.
Haya mengine hana ajualo kama siye tuu. Asitubabaishe.
 
Na ww leo umekuja na habar za kusikia mkongwe?
 
Kwani kuna watu walitaka kumdhuru au ni ugonjwa tu wa kawaida?
Ilifikia kipindi ukishuhudia kwenye runinga unakuta mtu analindwa kwa masilaha, mabrifikesi, miwani, earphones, nguo nyeusi, helkopita, mbwa n.k..
Yaani ilikuwa hatari kuliko hata alindavyo Rais wa Somalia...
Lakini hayo yote yatazidishwa maradufu....
Like we never seen before!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…