Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

Huwezi zunguka unatukana wanaume wenzako kama mizoga!

Nao ni wanaume na watu wenye familia!

Walichokifanya ni kutumia nguvu asilia kumuelewesha kua inatakiwa atumie busara!
 
Mlinzi wa binadamu ni Mungu hayo yote uliyotaja nosense, kwan unafkiri hakuwa na ulinzi? au ulinzi ulikuwa mdogo?
 
Hivi mm ndo huwa sielewi ama!! Unaweza nitajia wanyonge waliopata haki zao na ni haki gani hizo na wamebadili vipi maisha yao??
 
German tena kwa mabeberu? Akiondoka so watu watapiga diri/li
 
Si wamesema mzee?
...wanasema aliugua ghafla na kupelekwa ughaibuni!
Sasa kama wewe unasema huo ni uzushi tuthibitishie kuwa hayo si ya kweli!!!
Hakuna taarifa kwa umma toka ofisi yoyote
 
Kwahivyo ulivyovitaja wataongeza nini tena?
 
Naomba kuhoji,Yale wasemayo kina kigogo,mcomoro na wenzake yan ukweli wowote?? Kama hayana ukweli kwann wasikane au kutoa ufafanuz wowote
Tutawasaka hao kwa kutoa taarifa uzushi iwe mfano kwa wengine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…