Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Naona mnatuandaa kisaikolojia tuamini yuko kwenye ziara ya kikazi Ujerumani kumbe ya kimatibabu.
 
Mkuu, leo umeandika pumba
 
Wale mnaomuombea Rais wetu mpendwa mabaya yampate ujumbe wenu huu hapa chini. Tena hasa wale mnaolitumia neno la menemene nk. Pia wale mnaotamani kusikia habari mbaya. Basi zikatokee kwenye familia zenu kwa wapendwa wenu kama Mungu wa Israel aishivyo. Mungu wetu ni MOTO ULAO.

Zaburi 118:13
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia.

Zaburi 27:12
Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wamenijia, Nao watoao jeuri kama pumzi.

Jihadhari sana kumuwazia mtu mwingine na kumnenea mabaya kwani yatakurudia mwenyewe ×7!!!

Hebu soma Zaburi hizi hapa chini:-
Zaburi 17; Zaburi 35;
Zaburi 54; Zaburi 63; Zaburi 109

Ujumbe kwako Rais Magufuli. Usivunjike moyo.. Kumbuka maneno ya mtangulizi wako Rais Nyerere juu ya vita uliyoamua kuingia vita hii ya uchumi. Wapo WAPUMBAVU yaani watetezi wa mabeberu na wana kelele nyingi. Mwachie Mungu azime kelele zao.

Fahamu kuwa wapo WENYE HAKI WENGI TU WANAKUOMBEA. Usichoshwe na kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.

Wafilipi 1:6
Basi, nina hakika kwamba Mungu aliyeanza kazi hii njema ndani yako Rais Magufuli, ataiendeleza mpaka ikamilike katika siku ile ya Kristo Yesu.
Amen.

Queen Esther
 
Pumba
 
hii ndo shida ya kuishi kwa shemeji,dada kafanya kazi yake kwa umakini chumbani anakupikia chai unapata nguvu ya kuandika upupu hapa
 
BTW kama anamualiko uko Germany nadhan ameshaonana na Angela Merkel situasikia yuko uko
 
Walinzi wanaweza kupambana na mwanga, maji, moshi, upepo, giza, na macho ya watu? Bwana asipoulinda mji waulindao wafanya kazi bure! Rais atajilinda yeye mwenyewe kwa kutenda haki kwa raia wake zaidi ya hapo hakuna ulinzi wowote
 
Rais JPM anatakiwa awe anapumzika, Watu wanao ratibu kazizake wanatakiwa wahakikishe anafuata ratiba. Rais anatakiwa afahamu taifa ili baadhi waliomba na kufunga ili apatikane Rais wa Kariba yake.
Mungu alisikia kilio cha watanzania ndiomaana alipata kibali cha kutuhudumia watanzania kwaiyo anatakiwa afahamishwe iikazi ya kulikomboa Taifa ni ngumu anahitajika awe anapumzika. Tunajua kuumwa ni sehemu ya maisha ya binadamu ila kufanya kazi kupita kiasi kutamletea shida yeye na taifa kwa ujumla.
 
Mungu huombwa mara moja tu na husikia. Sasa wewe hiki unacho kifanya umu ni kumkufuru Mungu tu chakufanya zima data subiri majibu aliye kwambia Mungu huombwa uku kwenye mitandao ni nani?

Na aliye kwambia kuwa Rais anaumwa ni nani?
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
 
Ntashangaa Sana MACHADEMA yamekesha kuanzisha nyuzi uchwara
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…