Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Naona SREDI imekosa wachangiaji...hakika huyu ni kipenzi chetu, get well soon Jey

Betri imechomoka
 
Naam, huu ndio uungwana. Inapendeza sana pale viongozi wa kitaifa wanapojitokeza kulizungumzia hili soga linaloleta mtafaruku na taharuki kwenye jamii yetu iliyojaa huruma na upendo
 
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
 
Naona unataka kunikaanga. Mimi nimeandika neno la kiphyziolojia Bradycardia. Wewe unaliletea details ili watu waelewe. Ungeacha hivyo hivyo.
Sasa hii ni public forum kwa faida ya wengi,
Ungetaka tusielewe ungemfata PM.
 
Tatizo ni kuwa mtoa matamko ni mgonjwa waliobaki hawana udhubutu
 
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Wacha nikae kimya kwanza nikiingea hapa nitazua mengine
 
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
hii ndo shida ya kuishi kwa shemeji,dada kafanya kazi yake kwa umakini chumbani anakupikia chai unapata nguvu ya kuandika upupu hapa
 
Ni busara kuwa na akiba ya maneno katika jambo lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…