Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
.

Ona unavyojinyeanyea,muda ukifika mtakosa cha kuongea mjue.

Ndio shida ya hiki chama kimerecruit vilaza wengi km ww basi ni full kuvurugavuruga
 
Kwani ungesema hujui chochote kuhusu yasemwayo ungepungukiwa nini? Kama lengo lako lilikuwa kutuhabarisha ukweli ungesema kilichomtokea huko masasi ni jinsi gani wakimnasua kwenye hiyo hatar, kama wewe huruhusiwi kusema mengi basi hata haya machache huruhusiwi pia.
Kaa kimya na ikibidi muambie Wazir wa Viwanda na mwenzake wa Kilimo walipe hela za korosho mapema mno kabla Mungu hajashusha gharika zaid.
Ogopeni dua ya mtu aliyedhulumiwa sana hiyo Mungu anaipokea moja kwa moja, na kama mko karibu na Rais mwambieni aache dharau na maisha ya watu kwa kisingizio cha kuchapa kazi, mioyo ya watu inavuja damu kwa huzuni ila yeye ni kujisifu tu na matusi hadharani.
 
Kea statement ya Zito naona raisi wetu anaendelea powa.
 
Hapa unaposema unatamani kulia ndio shida inapofufua shida nyingine maana binadamu hawezi tamani kulia hovyohovyo hasa kwa mtu mzima mpaka aseme anatamani kulia
 
Alitutukana Watanzania wenzake pamoja na waziri wetu wa Maji matusi makubwa hadharani,hata kama kulikuwa na tatizo,siyo ustaarabu na ni kinyume cha sheria kutumia lugha kama zile even the President himself he isn't allowed to.
Kuna mtu kakuambia huyu jamaa ni mstaarabu? Na toka lini anajua thamani ya utu
 
Tunasubiri siku ya kumpokea Tundu Lissu Airport bila mawaa wala mikwaruzo.

Amesema hawezi kurudi Tanzania, nia yake ya kuonekana onekana Marekani na kuichafua Tanzania imefanikiwa kwa 100%.
 
Sisi wanakomba band tushaanza kutunga nyimbo wewe unaleta habari za 2020 labda kivuli chake.
 
mzee, labda huwajui watanzania vizuri, hujui akili za Watanzania kabisa, kama viongozi wa Upinzani wanafurahia live Rais kufariki, mnawarahisishia sana kazi CCM. Hata wakiuwa na kuteka nadhani wananchi wengi watakuwa wanashangilia
 

Afweeeeeeeeee
 
Hatia ya haya maneno na iwe juu yako mwenyewe.
Ndg sometimes tumia akili yako ku reason jinsi mambo yanavyokwenda hapa Duniani usikariri sana vitabu vya dini vitakupoteza maana vingine vimetungwa na wajanja kwa maslai yao binafsi!!
 
adui mwombee njaa tu hata kama alikuwa shujaa
 
Mmmh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…