Ni roho mbaya ya kishetani. Waliohusika kumdhuru Tindu lisu Mola awape msamahaje,kumpiga risasi tundu lissu,ni roho gani hiyo
Vyovyote itakavyokuwa lazima mama anahusika. Ni samia? Wote hatujui hebu fuatana nami kufuatilia 'senema' hii hadi mwisho. Tafadhali usihame kitini kwako na ikiwezekana usihamishe chaneli kutoka kwenye kuibiwa kompyuta hadi kwingine. Tumalizie igizo hili hadi mwisho.
Nakutakia uangalizi mwema kabisa.
Ngoja kwanza niendelee kusoma comment huenda nikaelewa mbele ya safari
Mnaendelea kudanganyanaIla nipo maeneo flani kwa kina jamaa flani.naona kuna vikundi vikundi vya majadiliano ya hapa na pale.i
Katafute jarida la Sani utamuonaMeko ni nani
UsijaliUsisahau kuniambia kitakachotokea
Umejaribu kutafakari kwa nini hali hiyo inajitokeza sasa? 1999 kama ulikuwa mkubwa utakumbuka hali ya tahayari ilivyokuwa wakati mwalimu (tena akiwa hana cheo chochote) akiwa mgonjwa kalazwa hospitali.BINADAMU tumekuwa sawa na wanyama.Tunajadili maisha ya Kiongozi Wa Nchi kimzaha mzaha sana badala ya kumwombea (ingawa huu ni uzushi wa mchana kweupe).
Hivi vitu vya kuzusha na kushadidia uzushi siyo kabisa.Hivi mtu ukiambiwa prove beyond reasonable doubt itawezekana kweli?
Jamani tuombeane mema hata kama kwenye siasa tunatofautiana mawazo.
Tusipotoshane.