Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka wakati ule Yesu anapelekwa kwa pilato walipiga kelele asulubiwe, bila ata kujua kosa lake, naye pilato aliwajibu, nimsulubishe mfalme wenu? Wale wakapaaza sauti kuwa, hatuna mfalme mwingine zaidi ya Kaiser, msulubishe! Nami leo nawauliza, mwamtakia kifo mkombozi wenu??
 
Vyovyote itakavyokuwa lazima mama anahusika. Ni samia? Wote hatujui hebu fuatana nami kufuatilia 'senema' hii hadi mwisho. Tafadhali usihame kitini kwako na ikiwezekana usihamishe chaneli kutoka kwenye kuibiwa kompyuta hadi kwingine. Tumalizie igizo hili hadi mwisho.

Nakutakia uangalizi mwema kabisa.

unafaa kutangaza,mie sijasogea kwenye kiti change...nasubiria mpambano…. 😂 😂 😂
 
Kabla ya kuendelea kuscroll ngoja nivute karanga zangu hapa,
kuna mengi humu aisee.

Nataka kutafuta definition ya SYSTEM may be akili itafunguka ipasavyo.
 
Huyu jamaa ana hatari sana... anachoshadadia ni hiki...

ibara ya 37(5) ya katiba ya Jamuhuri wa Mungano wa Tanzania...

5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote.




Cc: mahondaw
 
BINADAMU tumekuwa sawa na wanyama.Tunajadili maisha ya Kiongozi Wa Nchi kimzaha mzaha sana badala ya kumwombea (ingawa huu ni uzushi wa mchana kweupe).

Hivi vitu vya kuzusha na kushadidia uzushi siyo kabisa.Hivi mtu ukiambiwa prove beyond reasonable doubt itawezekana kweli?

Jamani tuombeane mema hata kama kwenye siasa tunatofautiana mawazo.

Tusipotoshane.
Umejaribu kutafakari kwa nini hali hiyo inajitokeza sasa? 1999 kama ulikuwa mkubwa utakumbuka hali ya tahayari ilivyokuwa wakati mwalimu (tena akiwa hana cheo chochote) akiwa mgonjwa kalazwa hospitali.
Hivi karibuni uliona mwitikio wa watu sio CCM tuu, hata wapenzi wa vyama vya upinzani walivyokuwa wamoja katika kumuombea afya njema JK alipokuwa amelazwa US.
BM naye alilazwa ingawa hakuwa hatarini, kule ulaya kwa matatizo ya miguu. Aliombewa sana kila mTZ alishiriki.
Why now katika tetesi tuu tayari watu wameonyesha negative attitude kuhusu aliyepo? Lazima kuna sababu tena kubwa mno. Kama tetesi ni za uongo tayari ni msaada wa yeye kujifunza awe namna gani kesho na keshokutwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom