Nakumbuka wakati ule Yesu anapelekwa kwa pilato walipiga kelele asulubiwe, bila ata kujua kosa lake, naye pilato aliwajibu, nimsulubishe mfalme wenu? Wale wakapaaza sauti kuwa, hatuna mfalme mwingine zaidi ya Kaiser, msulubishe! Nami leo nawauliza, mwamtakia kifo mkombozi wenu??