Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Umbea tu
 
Yeah! It is a bit complicated. Mavua haya ya dasilama yasokuwa na ahadi ya kuja wala kuisha. Dah! Mbona week end hii ni complicated!! Kishasema; Siwezi kuja kwani hakuweza kuondoka
Afu wewe ndg nadhani ninakufahamu
 
Mkombozi ni fedha peke yake hawa wengine mauzauza tu,ukipigiwa cm kutoka nyumbani kuwa Baba au Mama ni mgonjwa utakachotuma ni fedha na siyo story za Meko!
 
huyo amesema atakunywa bia, ndio nikaziweka. siyo mimi nimesema nitakunywa bia, NO, a big NO!
 
Taifa, Afrika na Dunia nzima, tunamhitaji JPM akiwa Hai, mwenye afya na nguvu. Amefanya mengi tangia akiwa waziri na sasa akiwa Rais. Ni mfano na kielelezo bora kwa uwezo wa waafrika kupanga na kusimamia maendeleo yao wenyewe.
Tungepata viongozi watano tu kama yeye, Afrika ingeendelea kwa kasi.

Kwa mdodroro wowote wa kiafya, tunamuombea afya njema, hali na nguvu ya kuendelea kuliongoza taifa sasa na kuwa mshauri mkuu wa viongozi wa kiafrika baada ya kung'atuka.

Mtazamo kwamba wengi wanamchukia sio kweli, hao ni mafisadi, wenye vyeti feki, wahujumu uchumi, majangili, na vibaraka wa mabeberu.

Naamini Mungu atamlinda, atamkinga na kumuongoza vyema Daima.
 
huyo amesema atakunywa bia, ndio nikaziweka. siyo mimi nimesema nitakunywa bia, NO, a big NO!
 
Ben Saanane yuko wapi? Azory gwanda yuko wapi? Mbona Mungu hakuwalinda amlinde Jiwe? Tafakari!
 
Sijamtaja MTU lakini
Halafu huwa nakushangaa sana unaposhabikia hivi vitu ili hali unajulikana fika na kila mmoja humu ndani, Mkuu wakati mwingine jitahidi sana kujifikiria mara mbili pale kwenye nyuzi zenye utata kama huu.
 
Magufuli yupo na ataendelea kuwepo, Na ikumbukwe kuwa Tanzania haitokuja ipate Rais mwenye uthubutu kama yeye. Mweneyezi Mungu ampe Maisha marefu Mr President.

Viva Tanzania...

Viva Mr President J.P.M
Amen
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…